Recent content by KOROSHO UFUTA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Alukuja mshikaj wangu anaomba nimtizamie mambo hayo ya ajira maana yeye hana kifaa cha intanet. (Ana kitoch tu) Nikazama kwenye tuvuti ya tamisemi na kupakua orodha ya waalimu. Kuna jumla ya kurasa 125 na waliochagiliwa ni 9800. Tuliangalia jina la kwanza had la mwisho hakuwepo. Nilimhurumia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Bada piere liQud
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bora Elimu: Kwa njaa ya masaa 20, mtoto atafundishika darasani?

    Inasemekana nchi inajitosheleza kwa chakula na aziada. Hii kama ni kweli basi kuna viongozi wana roho MBAYA. Wanashindwaje kuratibu hata hiyo ziada watoto wakala shuleni? Sijawahi kuamini kua hii nchi imewahi kujitosheleza kwa chakula. Wakati nipo S/msingi kuna miezi walimu walikua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

    Hiv haiwezekani kusikia KABLA ya uteuzi huo alikua mkulima huko Katavi? Au alikua mvuvi huko Kisiju?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Deo Kisandu baada ya kutoka jela gereza la Kitengule mkoani Kagera

    (Uchapishaji wa taarifa za uongo kwenye mfumo wa kompyuta). Vip hapo haifanani japo kwa mbali?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Zitto ajifunze kutafuna, kutafuniwa kutamponza

    Ukiona haufanikiwi kuna sehemu haujapiga hesabu zako sawasawa, Acha anaejielewa afanye yake adhihirishe ukomavu wake ktk siasa. Ni wabunge wachache wanaweza kugombea majimbo mawili tofaut na wakashinda, yeye ameweza. Na anaweza kugombea jimbo lingine la 3 na akapita. Kuna wananchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

    Daaah!!! hii inafikirisha sana. Inachomachoma na Inaumiza. Ila kwa mbaliiiii!!!! Kuna chembechembe za Ukw...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

    Hata urudie kusoma mara 9 haelewek.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Nina miaka miwili au mitatu sili chakula vizuri

    Ila tusaidie kwanza ndugu ni vyakula gani inakua rahisi kwako kuvipata. Maana kuna ugali wa muhogo, sembe, dona kwa maharage, dagaa tembele. Pia kuna wali, ndizi, nyama, samaki, maziwa. Sababu hata mimi huaga hivyo ila najijua kua vyakula ninavyovimudu sio ninavyovipenda.
  10. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dr. Stella Nyanzi, Bajjo and several others arrested over food protest

    . Kabisa, yaani sentensi zote hizo kuna NUKTA mbili tu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, vijana wa leo wanaweza vita kama hizo enzi za wafalme?

    Zama hizo mkienda vitani mfalme nae anaingia uwanjani. Sahihi kabisa kwamba unaona mnapigana vita kwa ajili ya maslahi ya wote. Leo hii watu wanapata POSHO za vikao zaid ya milion 100. Wengine hata uwezo wa kupata uji hawana na wakipata ni wa chunvi, sukari wataimudu wapi? Hakuna mtu ataenda...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nifikie wapi kuitalii Zanzibar kwa wiki moja?

    [QUOTE="Myomb_0, pos Naomba ushauri kwa wale waliopo Zanzibar au waliowahi kupatembelea. Naungana nawe nami naomba msaada wa kujua kama kuna guest hause za bei ya kawaida kama 20,000 au 25,000. Maana naambiwa hakuna kitu kama hicho ila ni mahotel tu ya bei ngumu.
Back
Top Bottom