Ifike mahali kama tunashambuliwa na UN wanasema tusijibu mashambulizi kwa kisingizio tunalinda amani sasa ni Amani ya namna gani tunayoilinda nadhani ni wakati muafaka wachague mambo mawili 1.Wakitushambulia ktk ngome zetu nasi tujibu kwa nguvu zetu zote na vifaa vya kitaalamu wapewe 2. Kama...
Alikuwa akikutana Roy keane Vs Patrick viera kuna mmoja lazima apate kadi nyekungu au Martin kewon Vs eric Cantona lazima zichapwe na mtu alimwe red card
Kwa hapa hajamtendea haki mtoa taarifa hata kidogo maana kuna aliyekimbia na pikipiki je wana uhakika gani kama yule aliyekimbia hatamrudia mangi wa watu kibandani kwake?
Nimeumia nafsi kiukweli kama haya maneno ni kutoka kinywani mwake mungu ampe wepesi huko aliko na aliyemtoa paulo na sila gerezani amuokoe na yy kutoka ktk mikono hii sasa
Kweli kama ni kuumia niliumia sana waje na majibu ya kujitosheleza kama mtu anataka kufanya uokozi ww unawakataza ina maana hapo hawakutenda haki hata kidogo au walikuwa wanaangalia zaidi mapato wakidhani labda watu watavuka bure upande wa pili wakati raia wanakufa bila uokozi?
Naona kama mkuu hapo umekosea kidogo kwa hiyo askari wa kike hastahili haki yake ya kimsingi ya kuolewa? Na mbona hilo la kuoa/kuolewa kwa askari yeyote duniani ni kawaida kama raia wengine ,,,, sema ukijifanya kidume ndani ya nyumba kwa michepuko lazima akutoe manundu na asbh ukimbilie kwenye...
Hapo niliona fainali zote nikiwa dar kweli sijaona kikosi kama hiki cha Taifa maana kilikuwa na kila ufundi .........ilikuwa raha sana kama fainali ya Euro 1999 man United Vs Bayern Munich nalo lilikuwa bonge la game
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.