Mtaala umezingatiwa vzr sana kiongozi..tenga muda ukague vitabu vya kiada darasa la tatu mfano SANAA NA MICHEZO,,HISTORIA YA TANZANIA n.k,Pengine utagundua kitu kizuri Sana,,Walimu tunaogopa adi kuwafundisha baadhi ya vitu maana umri wao na MAHIRI wanazopaswa kujengewa ni ngumu muno
Ivi ata wewe Tanzania inaweza kukushinda kuongoza? Mimi apa na elimu yangu ndogo nikipewa wizara naiongoza. kikubwa nisiwe mwanachama wa ccm, maana pale ccm kama Young Africans ni watu watatu tu .....[emoji13]
Pole ndugu yngu,,kama mko karibu na kambi yoyote ya jeshi tafadhali nenda pale mama aeleze kwa mkuu wao,,hakika watasaidia sana wale jamaa.Atasema yote kule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.