Recent content by Konzogwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kinaitwaje kifaa hiki?

    Hii ni engine ya Audi A6, 2.0L mwaka 2009. Hiki kifaa kwenye picha kilichozungushiwa mstari kinaitwaje kitaalamu??? Asanteni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Uwe na matumizi mazuri ya akili!!!....
  3. K

    JamiiForums Tanzania Namtamfuta Mzee Majuto

    Naomba mnisaidie contacts za mzee Majuto msanii wa comedy. Nahitaji anitengenezee tangazo nitangaze kwenye TV. Natanguliza shukrani wadau.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna bureau de change Mlimani City jumapili??

    Asante sana mkuu!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuna bureau de change Mlimani City jumapili??

    Nawasalimu wadau. Naomba kujua kama kuna bureau de change wanaofungua jumapili pale mlimani city.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Kama hujapata msaada check na kampuni hii ya kibongo watakuelekeza www.kalumbilo.online
  7. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri wa Elimu kuhusu Shule ya Sekondari Chemchem

    KWELI NGOMA IKILIA SANA MWISHO HUPASUKA. HIZI TUHUMA ENZI ZA NYUMA TULIJUA UMBEA NA CHUKI, SASA NIMEAMINI BAADA YA MKUU WA WILAYA KUAGIZA MKUU WA SHULE HII KUSIMAMISHWA KAZI NA KUPISHA UCHUNGUZI. SIJUI, LABDA NA MKUU WA WILAYA NAYE ANA CHUKI, LAKINI NAAMINI HAJAKURUPUKA.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Achana nao hao walamba kamasi madai yao ni matamu!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Achana nao wamebemendwa na wazungu hao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Nina mashaka na akili yako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Dhahabu

    Nawasalimu! Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi??? Natanguliza shukrani
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Hata yale ya ndani ya siku mia huyaoni???!!! Kkweli akili ni nywele kila mtu anazake,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kununua gari toka Zanzibar kuja bara

    Nahitaji kununua gari toka Zanzibar na kulileta Bara. Naomba mwenye kujua anisaidie utaratibu wa kodi na usajili. Je, ni process zile zile kama za kuimport toka Japan? Nawasilisha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada - Nahitaji Kuagiza Tractor

    Nitashukuru kwa msaada Nakukaribisha kwenye kampuni yetu:www.kalumbilo.online tutakuagizia kwa bei nafuu. Tractor zilizopo toka kwa washirika wetu ni pamoja na Massey, New Holland, Ford, Fiat, International, John Deere na kadhalika. Karibu ofisini kwetu Quality Plaza Dar es salaam au piga simu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada - Nahitaji Kuagiza Tractor

    Tractor na bidhaa zingine za kilimo hazina ushuru
Back
Top Bottom