Recent content by kongodon

  1. kongodon

    Arumeru: Mkuu wa Wilaya Mnyeti akiri kuwanunua Madiwani, adai ataendelea

    Nilijua watakwepa huu uvumi ndio kwanza wanapigilia msumari kweli nyani haoni kundule
  2. kongodon

    Zoezi la bomoa bomoa kuanzia Kimara hadi Kiluvya

    kwa kweli kwenye ukweli usipindishe
  3. kongodon

    KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    we ni shabiki wa yanga nini
  4. kongodon

    KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    wazee wa visasi kama kawa wamemharibia nafasi yake ya udiwani wamenyang'anya shamba lake plus upotevu wa nyaraka angalau kidogo wameridhika ushauri wangu manji unapata misukosuko kama uko upinzani kwanini usihamie tu upinzani maana nadhani ungekuwa na njia mbadala kuishi nao kuliko sawa unacheka...
  5. kongodon

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    kuna uwezekano una tatizo na wewe pia ndio nyie mkeo akinenepa unamnyanyapaa kisa kanenepa jitafakari mpendwa uzuri wa mke ni tabia sio jumbile lake
  6. kongodon

    Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

    mimi simba damu ila yanga bingwa tena msimu huu tuache kuandamana tujipange msimu ujao kama kweli tungekuwa na uchungu tungeshinda uwanjani sio mezani
  7. kongodon

    Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

    ni kweli wengine hawapendi vitambi ila yakupasa utambue kuwa vipo vitambi vya maumbile na vya kujitakia mwambie dada hao wote wanaolisema tumbo lake si type yake atakuwa ana tatizo so wanashindwa kumuambia ukweli tumbo linakuwa kisingizio coz mwanamke anayestahili kuwa mke muhimu huwa ni tabia...
  8. kongodon

    Natafuta mtu wa kupigana naye.

    usipate shida ukiona mwili unawasha pita pale lugalo kanyaga mau au ukojoe pembeni barabara yaani kwenye majani ukirudi usitupe mrejesho itakuwa siri yako mkuu
  9. kongodon

    Nilivyotafakari Leo

    kunyeo
  10. kongodon

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    ka elfu kumi tu unapiga kelele jf nzima na mkome kutongozarongoza mwishowe mtatembea na majini
  11. kongodon

    Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

    kulalamika hakusaidii tuacheni umalaya jamani hata mimi nina mpango wa kutengeneza account ya nyingine halafu naweka picha ya demu mkali kiasi kwamba wakora mkiona tu picha udenda unawatoka
  12. kongodon

    Makapuku Forum

    wanatumia mkuyati
  13. kongodon

    Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

    umenena vyema wenye aikili watakuelewa kama mimi nilivyokuelewa Richmond imebadilishwa jina leo hii inaitwa symbion kwa bahati nzuri Obama kabla ya kuondoka kurudi marekani alipitia kuzindua hiyo mitambo akiwa ameongozana na rais mstaafu sio waziri mkuu wa zamani je kuna ambaye bado hajamjua...
  14. kongodon

    Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

    chadema tuko tayari lowassa ahojiwe kwetu sio issue maana ukweli tunaujua
Back
Top Bottom