Recent content by kondoayetu

  1. K

    Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Mimi nafikiri ni mtazamo wako binafsi tu wala si utafiti wa kitaalamu uliofanyika....
  2. K

    Unaweza kuhisi ni mji gani katika hii dunia yetu?

    Mi naona kama chumbani pamewekwa picha
  3. K

    Baada ya kumtongoza

    Hakuna mapenzi hapo zaidi ya kuchunwa tu
  4. K

    ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    Hahahaaaaaaa,kwani wachagga wengi wanaishi kimara kwa hapa dar?
  5. K

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    0686484858,nichek hapo.
  6. K

    CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

    Sasa huyu fisi ni kama kivutio cha wananchi kwenda kwenye mikutano yao ama?
  7. K

    Kijana tajiri wa Kitanzania ametajwa kuvunja rekodi

    Bush land unasema haitatokea mtu mweusi kuwa tajiri barani africa?huyo alhaj aliko dangote ni mnigeria halisi mweusi ambaye ndiye tajiri number 1 africa.
  8. K

    Nimezaa nae naogopa kumuacha

    Dah,pole ndugu ni wengi wanakumbana na kasumba hiyo.vumilia huenda ikawa ni kipindi cha mpito lakini mtoto wako kulelewa na mama/baba wa kambo ni changamoto nyingine.
  9. K

    Kigogo aliyefukuzwa ATCL ajibu mapigo

    Mnfanya wizi wenu kimya kimya alafu mkishabainika ndo mnaanza kutuzuzua ili kuzima soo...wewe uliyebainika ushughulikiwe kivyako kwanza hizo takataka nyingine zitafata...
  10. K

    Walimu wapigana mbele ya wanafunzi

    Wachukuliwe hatua za kinidhamu na mkuu wa shule au bodi ya shule...si picha nzuri katika jamii...
  11. K

    Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Kuna kanuni ama sheria za nchi zinamkataza rais kushiriki zinduzi mbalimbali za sekta/taasisi binafsi?
Back
Top Bottom