Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Nunua simu kwanza halafu akikubomu tena ujue unatakiwa uzame kwenye should. Engine yasubiri
Habari zenu wakuu,
Natumaini mu wazima katika Sunday hii, imenitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni muuza mihogo na tambi katika chuo chetu hapa mjini. Katika harakati za kumpa namba nilimpa P6 yangu aandike namba..
Siku ya 4 nikamtongoza akasema OK. Baada ya figisu figisu za kutongozana akasema hana simu namsaidiaje? Wakati tunachat akasema narudisha simu sio yangu..
Msaada jamani hapo kuna mapenzi kweli?
Karibuni