Recent content by Kona mbele

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Tarehe ya uchaguzi iliwekwa ila kwakuwa umesusa tulia hivyo hivyo uone nini kitatokea na maisha yataendelea
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Mahakama unaionea inatenda haki labda km umeamua tu kuwa mbishi,kuna ushahidi dhahir kesi za upinzani zinashinda
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Sio mbaya tumegundua tatizo
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Ulikuwepo kura zinavyoibwa au ulisikia kwa jiran yako?
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Bado unawaza madili kwa awamu hii sasa jaribu halafu tukusahau humu Jf
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Ili tuinyooshe nchi kwa Uhuru zaidi
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    Mbali na haya majimbo na hizo kta a 2020 wagome tena km walivyofanya visiwani,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bora wa chama CCM unategemea wana CCM wenyewe. Tujenge chama chetu kwa ufanisi na usasa

    Mkuu hapo unatereza sasa,we una uwezo gani wa kufikiri had uthibitishe wana Ccm ni wajinga?Sio poa hiyo Sent from my it1453 using JamiiForums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bora wa chama CCM unategemea wana CCM wenyewe. Tujenge chama chetu kwa ufanisi na usasa

    Tanzania kwanza kupitia Ccm kama chama tawala,aluta continua Sent from my it1453 using JamiiForums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania ATCL biashara inaelekea kuwashinda

    Asee noma
  11. K

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Tafsiri muhimu,,hiyo barua ni sahihi km Jpm alivyosema
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lissu: Magufuli ameahidi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya kamati

    Sio kweli,hata aliyepo ananyoosha rula
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    Mtoa post tambua bank anaingia mtu mwenye fedha na bank haina urafiki na masikini,sasa kama mianya ya kuiba imepungua lzm watu wapungue bank.Tupige kazi halali tutapata cash na bank zitaendelea vizuri.MKAO WA AKILI ZA WENGI BADO UNAWAZA MADILI NA NDIO STRESS ZINAPOANZIA Sent from my itel...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Telbox Tanzania

    Nionje sumu
Back
Top Bottom