Kona mbele
Member
- Aug 9, 2016
- 59
- 15
Hamjambo humu ndani? Nawaomba mnielimishe juu ya hii app (TELBOX TANZANIA-inasemekana INA uwezo wa kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote unayetaka kumfuatilia) Nimei download nikataka kuitumia nikaambiwa nitume 45 elfu kwa Tigo na namba nikapewa.Km kuna mtu ashafanikiwa au una a b c yeyote juu ya hii app please nijulishe.