Watanzania Wengi Wanahitaji elimu Ya Biashara...!!!
Network Marketing ni mfumo wanaotumia makampuni ya Njee kuingiza Bidhaa zao nchini..!!
Bidhaaa yenyewe Ghali; wangapi watanunua..?? Hivi kweli uchumi wa Nchi utakuwa kwa kufanya Imports ya hizi products kutoka njee....Serikali ipige marufuku tu...
Vodacoma mnazingua kw kweli....nimeweka kifurushi cha wiki GB1 kwa 4200 after one day kimeisha....yaani gb 1 inaweza kuwa mb 500 maana nkitumia mtandao wa tigo kwa matumizi yale yale inakaa wiki nzima
Nafikiri watu wenye Calibra ya Ben wa Saanane wanahitajika Bungeni; sio mafala kama livingstone Lusinde au Hawa Ghasia...Ben Bunge la Tanzania linakuhitaji na sio wewe kulihitaji Bunge...!! Tuko pamoja
Wanawake wa Pwani ni malaya na wapenda dushelele...hayo mambo yapo na hayataisha...hakuna excuse ya kutoka nje ya ndoa kisa dushelele....nikijua nakumaliza chaap..mwanamke mpumbavu huiharibu ndoa yake mwenyewe
Kuna wanawake wana akili ndogo sana..!! Hakuna relationship iliyo perfect lazima utakuta mmoja ana mapungufu...ni wajibu wa kila mmoja kujua tatizo la mwenzake na kumsaidia...!! Kwenye upande 6×6 ni hatar kuoa mwanamke wa pwani,morogoro kusini pwani mtwara retc..hii mikoa wanafundishwa ngono...
Mimi ni kjana niliyeajiriwa kwenye kampuni moja mafuta Tanzania, lakini nimepata access ya running capital - mafuta pamoja na initial fund ya ku_run petrol station. Kwa yeyote mwenye connection anisaidie tufanye business; pia vituo vya watu binafsi navipa priority kubwa, coz vituo vya makampuni...
Katika Kuwaza kwangu nilijiuliza mambo Mengi. Katika kusoma maandiko nikagundua Damu ina nguvu sana. Nikagundua Damu inapomwagika inaweza kuongea, ndo Maana Cain alipomuua Abel, Mungu akamwambia Cain mbona Damu ya Nduguyo inanililia.??
Nikagundua Hata Mungu alipokuwa anafanya Maagano Na...
Bachelor ya HSM haina market tena, nakumbuka nikiwa first year wale waliomaliza darasa la kwanza kabisa walipata wote kazi; sasa hivi masters ya HSM ndo ina-market kidogo. Na wengi wanaosoma hii masters of HSM ni Madaktari. Nina marafiki zangu kibao wamemaliza hii kozi na hawana ajira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.