Recent content by komrose

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atoroka bwenini usiku, abakwa na kisha kunyongwa

    Hiyo shule kimeo inayoacha watoto wanajitokea tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atoroka bwenini usiku, abakwa na kisha kunyongwa

    Uwiii jamani! ina maana hiyo shule haina walizi mpaka mtoto anatoroka usiku,alafu wanasema ilikuwa kawaida yake.Kweli watoto wetu hawako mikono salama wanapokuwa shule.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna baadhi ya wanawake wana nuksi?

    Hata wakiwa na hela hawafanyi kitu cha maana.anaweza asijenge nyumba mpaka anazeeka hata kama uwezo anao.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna baadhi ya wanawake wana nuksi?

    Kuna ukweli kabisaa! Hata kule kwetu kama unataka kuona hizo koo unaambiwa kabisa usioe hawana baraka kama una mali zote zinaisha wanaitwa mlango wa nane.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiibia pesa

    Lazima usachiwe kama ukiobwa hutoi unasema sina, alafu unarudi kila siku umelewa. Ila huo siyo wizi anasogeza tu, angekuwa mwizi asingechukuwa zote angaokota moja ili usigudue ila yeye anakomba zotee! haaa! ila huyu kiboko,na huyu mume naeanaonekana anamwogopa huyu mwanamke we hela zinakobwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CRDB acheni kuchezea pesa zetu wateja

  7. K

    JamiiForums Tanzania CRDB acheni kuchezea pesa zetu wateja

    Hakuna bank iko vizuri Kama CRDB,ikitoake shida ujue kuna shida tu ya mitandao ambayo ina gusa bank zote hapa Tz. Kwajumla nawapenda sana wako juu.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njia panda, nichague mke au mzazi?

    Hilo nalo neno maana wasije wakaja na lundo la wasidizi.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu unaweza kuwa upendo wa dhati?

    Kaniuzi sana huyu!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Saa kumi ana mbili wazee wamichepuko wako home haaaaa! chezea ukwasi ww.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Haaaaaa! sifa zimempoza! ila huyu mjomba ameniacha hoi anapotaka alete na mke kabisa,Kweli mjini kutamu.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuomba no ya simu mwisho Chalinze, mjini Business Card!

    [QUOT E="Agent007, post: 15409124, member: 339162"]Hahahaha apo ukiona umetafutwa ujue yule mdada wikiend hiyo alikua hana pesa ndio akaikumbuka business card uliyompa Yahaya! au akina marioo kutwa kupiga mizinga lakini ukimkuta katinga kwenye gari nzuri tinted na sijui wanaazima kwenye...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Haaaaaa! huyo mjomba kaniacha hoi eti haondoki mpaka apate ripia ya mjerumani.Hiyo ni gia ya kuendelea kuishi mjini.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Wafukuze wakakutangazie kijiji kizima kuwa una roho mbaya,wakafikie wapi? na ww umewatangazia kuwa kwa sasa umejenga nyumba kubwa na unaishi mwenyewe.Bongo kubwa hii walijuaje wanakijiji wako!!
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali sio mapenzi, ni ubwege

    Ndiyo maana na sisi tumeshakuwa wajanja tunanunua plot kwa majina yetu na inakuwa siri yetu na ndugu zetu.Pia na ss tunaishi na nyie kwa akili tumeshachoka kunyanyasika ebo!
Back
Top Bottom