Kuomba no ya simu mwisho Chalinze, mjini Business Card!

Kuomba no ya simu mwisho Chalinze, mjini Business Card!

Sasa mmekutana kwenye Dala dala gari yako ilikua mbovu? mie kama tumekutana kwenye Dala dala sikupigii tena ukiondoka tuu card naiwacha hapo kwenye seat,usinitie mkosi mie....lol
 
Kweli mkwere aliharibu vijana, unatengeneza biz cards ili ung'oe madem? Kazi ipo
 
Sasa mmekutana kwenye Dala dala gari yako ilikua mbovu? mie kama tumekutana kwenye Dala dala sikupigii tena ukiondoka tuu card naiwacha hapo kwenye seat,usinitie mkosi mie....lol
Sasa na wewe uko humo humo kwenye daladala ndio maana tumekutana.....ila nimependa uwazi wako, halafu ukisoma hio kadi unakuta kajipa title CEO au MD......
 
Sasa na wewe uko humo humo kwenye daladala ndio maana tumekutana.....ila nimependa uwazi wako, halafu ukisoma hio kadi unakuta kajipa title CEO au MD......
hahahha umeonaa eeh!! yani nimekukuta kwenye Daladala halafu title CEO,mie apana staki kutiwa mkosi naiwacha
CEO hata piki piki huna kama huchoshi dada wawenzio kitu gani...tena siku hiyo ntashinda na kunyusa mpaka ntaota...
 
Sasa unakutana na mtu biashara yake ni FUNERAL SERVICES akikuachia hio business card si utaona kweli anakuchuria!!!
hahahha umeonaa eeh!! yani nimekukuta kwenye Daladala halafu title CEO,mie apana staki kutiwa mkosi naiwacha
CEO hata piki piki huna kama huchoshi dada wawenzio kitu gani...tena siku hiyo ntashinda na kunyusa mpaka ntaota...
 
Hata ingekuwa assistant sales person. Kwa sababu akiwa head angeweza nisaidia siku najikuta na shida kwenye bank hiyo.

Business card is purely for business benefits baba. Wachumba wamenizunguka left, right and center.
Ingeandikwa Mr R. RONDO Head of Marketing StanChart usingeitupa i guess!
 
ndio maana umasikini umetung'ang'ania, watu wanawaza jinsi ya kutengeneza pesa wengine wanawaza jinsi ya kupata wanawake
 
Hata ingekuwa assistant sales person. Kwa sababu akiwa head angeweza nisaidia siku najikuta na shida kwenye bank hiyo.

Business card is purely for business benefits baba. Wachumba wamenizunguka left, right and center.
Ila mtu ana business card ina jina na namba tu, kweli hajui kazi ya hio kitu
 
Kama hana kazi sasa afanyeje? manake sie wachimvi unatuma email ama unapiga landline unaomba kuongea nae. Lol
duh hata gmail imemshinda...wasanii wengi hawana kazi ila business card ina title zote
MR R RONDO
CEO
RONDO INVESTMENT GROUP

E MAIL inawekwa gmail hapo, namba mobile tu
 
Hahahaha apo ukiona umetafutwa ujue yule mdada wikiend hiyo alikua hana pesa ndio akaikumbuka business card uliyompa
Kweli mkuu, unaweza fikiri ni zali umependwa kumbe mbwembwe zako tu za business cards anajua atapata chochote.
 
Nawashangaa wakaka wa leo hawana vifaa vya kuji link na watoto wa ukweli! Kupata mtoto wa ukweli wala hata haihitaji uwe na mpunga au mkoko wa maana. Ni vile unavyoji package tu.

Pale inapotokea umekutana na mtoto mkali and you have like less than minute to hook up youself sasa wewe mpaka uanze kujing'ata ng'ata hapo mtoto keshakula kona. Au ndio umemit naye kwenye dala dala la Mbagala limeshona kiasi hata ukinong'oneza kila mtu anasikia ina kuwa sheeda kupata namba mana huku na kule kila mtu anakuchek.

Sasa mpango mzima ni kuwa na bizness card zako zinazoelezea fani yako au shughuli unayofanya, na namba za simu au email na vitu kama hivyo.

Pale tu mtoto akimaliza kuitikia salam unamkabidhi bizness card mwambie tutafutane kwa mazungumzo zaidi ya kibiashara au ya kijamii. Trust me mtoto atakulia pozi kwa wiki kadhaa but in the end lazima akucheki hewani.

Usipokiwa na vifaa kama hivi watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu...
You mean business. Business card zinakufanya uonekane serious mpaka kwenye mapenzi.
 
[QUOT
Yahaya tena

E="Agent007, post: 15409124, member: 339162"]Hahahaha apo ukiona umetafutwa ujue yule mdada wikiend hiyo alikua hana pesa ndio akaikumbuka business card uliyompa[/QUOTE] Yahaya! au akina marioo kutwa kupiga mizinga lakini ukimkuta katinga kwenye gari nzuri tinted na sijui wanaazima kwenye yadi za magari! kumbe hajulikani anaishi wapi zaidi ya utapeli mjini.
 
business card ninazo but still zitumiagi kwenye watu ambao xio wa msingi kampuni inatoa chache
 
Back
Top Bottom