Habari zenu wakuu....
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu au mafundi ujenzi gharama za kupaua nyumba ya vyumba viwili vya kawaida vya kulala,master moja,choo na bafu vya public,dinning na sebule,stoo na jiko...
Je, kwa makadirio zitahitajika bati ngapi,mbao ngapi.
Angalizo: Nataka kupaua kwa...