Recent content by kombesa

  1. kombesa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Lina ukubwa gani? Lipo Maeneo gani kwa MKOA wa songea
  2. kombesa

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA imefanikiwa kisiasa kwa zaidi ya 100%

    Wewe ni mpuuzi
  3. kombesa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Je! Una camera ambazo azitumii wire?
  4. kombesa

    JamiiForums Tanzania Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Connect na Mimi
  5. kombesa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

    Debe 1 la mahindi kusaga na kukoboa unatumia unit ngapi? Na mteja akija kusaga na kukoboa anakulipa bei gani?
  6. kombesa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Mashamba yapo maeneo gani? Katika mkoa wa Kilimanjaro?nivema nikajua maeneo..
  7. kombesa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Mashamba
  8. kombesa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Huko siha ni viwanja au mashamba?
  9. kombesa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Taja Maeneo ulikuwa na mashamba/ viwanja kwa Kilimanjaro..pamoja na bei zake
  10. kombesa

    JamiiForums Tanzania Gharama za kununua gari kutoka Zanzibar

    Kabla ujanunua hilo gari ..chukua namba za gari nenda tra Zanzibar office zao zipo hapo mlandege..hapo utajua gharama zake alafu utajumlisha na gharama za kupakia kwenye meli mpaka dar.
  11. kombesa

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

    Kujua hiyo lugha kisiwe kipaumbele sana...tupende kiswahili chetu
  12. kombesa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Shuka makuyuni au nyuma yake kidogo kuna campsite nyingi hapo utapata madereva wengi wa tours.. ila kuwa mjanja kwenye kupatana kwa maana pesa yako ni posho ya dereva..
  13. kombesa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Kwa kupunguza gharama. Tumia usafiri wa kawaida mpaka .Mto wa mbu / karatu..hapo kuna madereva wengi wa tours.. utaunganishwa na wageni wengine..
  14. kombesa

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio-oa wanaingia gharama kubwa kupata wapenzi wapya

    Nazani Ni ulimbukeni tu..
Back
Top Bottom