Wewe ukienda kinyume utashtakiwa tena utaambiwa."kutokujua sheria sio kinga".je!yeye Magufuli mwenye washauri lukuki anapokosea tumfanyeje?ukitaka kuongoza kidikteta lzm ubadilishe katiba.kama walishindwa kutaifisha mali za waliochota pesa EPA,ESCROW,IPTL,MEREMETA,na mengine mengi kama hayo ,kwa...