sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Hivi kama ulikuwa mke wa mume ''X" halafu ukadai talaka na ukapewa, ukienda kuolewa na mume "Y", hivi utajiita Mrs 'Y' ama utajiita 'aliyekuwa mke wa X?''
Ulikuwa waziri katika serikali ya "CCM" ukaomba talaka ukapewa na kwenda kujiunga na chama kingine labda "CHADEMA" , kwanini ujiite ''aliyekuwa waziri wa awamu ya...ya chama cha...?" huko co kukitukana chama ulichopo sawa na kumtusi mumeo wa sasa pale unapomtaja mumeo wa zamani? (hasa pale unapokuta unamkosoa mumeo huyo wa zamani)