Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Hali ni tete kwa kweli.Kazi kwelikweli!
![]()
Hali ni tete kwa kweli.Kazi kwelikweli!
![]()
Yeye mpaka ameyasema ana uhakika wa chai hapa nilipo watoto wote wamelegea uji wa chumviMama Salma amesema uchaguzi umekwisha, tuaache kusukumana sukumana...!!
Mzee Madabida mwenyekiti wa CCM DSM!!!Umenena vema. Hujataja RVA feki. Eti kesi kashinda na sasa anaidai serikali Bilioni 60!!!! Hivyo mmiliki wa kiwanda hiki nani vile????!!!!!???
Kama hivyo fikra mbadala ndizo zinazohitajikaAnko ebdelea,wafyeke miguu wote wanaokubania,tutakuwa na njaa ya muda tu,taifa litatengeneza wafanyabiashara wapya,wazalendo,ambao wataibuka kipinfi cha maisha na staili mpya ya kipato ambacho hakitaweka matabaka na kuumizi taifa.
Punda afe mzigo ufike
Kipindi iko hakua RaisN
Nakumbuka kipindi Si kirefu akiwa waziri, matajiri wa malori waligoma wakapaki barabarani, mh. akasema kupaki ruksa ila majikoni kwenu....mwisho wa picha matajiri wakaibuka kidedea, tusubiri toleo lijalo....!.
CCM ni watu na sio viongozi. Badili msemo bila ufisadi tanzania hakuna wafanyabiashara.Kumbe!ndio nimeamini sasa kuwa bila ufisadi c.c.m imekufa!
Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa kwao hakina faida kwa taifa kufuatana nahsara walioipa s/kaliUmenena vema. Hujataja RVA feki. Eti kesi kashinda na sasa anaidai serikali Bilioni 60!!!! Hivyo mmiliki wa kiwanda hiki nani vile????!!!!!???
Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa kwao hakina faida kwa taifa kufuatana nahsara walioipa s/kaliUmenena vema. Hujataja RVA feki. Eti kesi kashinda na sasa anaidai serikali Bilioni 60!!!! Hivyo mmiliki wa kiwanda hiki nani vile????!!!!!???
Huyu kapuya hayupo kwenye mwendo kasi huyu!!Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa kwao hakina faida kwa taifa kufuatana nahsara walioipa s/kali
Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa kwao hakina faida kwa taifa kufuatana nahsara walioipa s/kali
Ndio maana nimesema tusubiri toleo lijalo, Umesahau ishu ya juzi ya makontena?, TRA ilipowabana matajiri Na kuanza mchakato wa kuwapeleka mahakamani, bosi mkubwa akatoa msamaha Na ofa ya siku saba kulipia, matajiri hawana njaa, wakalipa, sheria zilivunjwa lakini kwa sababu waliovunja Ni matajiri, wapo mtaani, maisha yanaendelea, nasema hivi... Tusubiri toleo lijalo, tamthiliya inaendelea....!.Kipindi iko hakua Rais