Ata Upanga kulikuwaga na haunted house ilikuwa ya ghorofa mwenye hiyo nyumba muhindi, inasemekana aliua mke na watoto ndani..hiyo nyumba aikukaliwa na watu muda mrefu ilikua na mauzauza mengi kweli hadi Haki Elimu walipoenda kupanga,,
Hakuna lolote hapo hao wanapotezewa muda tu...watuulize ambao tulienda kipindi alipoita watu wenye migogoro ya ardhi na kesi mahakamani..tulienda tukahojiwa vya uongo na kweli wakaahidi kufatilia hadi Leo kimyaaa...Leo tena kaibuka na mengine..ila Mungu atalipa anavyopotezea watu wenye matatizo...
Hawatosaidiwa hao wanapoteza muda tu...watuulize ambao tulienda alipoita watu wenye migogoro ya ardhi na kesi ziko mahakamani...tulihojiwa wakaahidi kutusaidia hadi Leo kimyaaaa.. kaibuka na lingine....alijua kweli kutupotezea muda...na hao kina mama wanajisumbua tu.
Flavy nae anaimani tu za shirki ye anadai kwamba walimkamata mtu anafanya uganga, baada ya kumhoji uyo mtu akadai katumwa na rafiki yao wa karibu
Kwanini walimuamini kirahisi uyo Mtu labda aliongea tu ili awachonganishe?walipata ushaidi gani kama kweli katumwa na shoga yao?
Flavy nae ana imani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.