Waisrael tupo tumetulia tuwakati tunasubiri wakati wa Mungu wetu ufike wambulu turudi mesopotamia na wamasai turudi misri na israel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani hakuna kitu kinaitwa ugaidi.
Hii ni mipango ya mzungu kutuzingua.
We fikiria alshabab wanakipato gani cha ku survive miaka 10?
Yaani mzungu anakuonyesha picha za kundi la isis likihamisha vifaa vizitovizito kutoka mji mmoja huko syria kwenda mji mwingine?
This is childsh comedy.
Sent...
Pale zamani palikuwa kituo kikuu cha utekaji wa magari makubwa cha biashara ya wizina utekaji kikiongozwa na bwana Karikenya.
Ilifikia mahali sadaka ikiwa ndogo mchungaji alikuwa anawachapa mkwara kuwa anajua ni magari mangapi yaliibiwa kwa siku na mali zilizoibiwa na kama wakiendelea na kuleta...
Leta maoni yako tujue umesimamia wapi kwenye huu mtokoto wa bashite kwa sababu wewe uko kama bangi ukitumika kama dawa unatibu mgonjwa mmoja halafu unaharibu watu 1000 ukikaa upande wa uvutaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bashite juzi ikulu alikuwa anataka makamu wa rais amtaje yeye kama mwenyekiti wa uhamasishaji taifa stars.
Sasa kitendo cha mama samia kumtaja Liquid kimempa wivu wa hatari.
Tunaomba ulinzi wa konk faya uongezwe kwa maana tunaweza tusimuone tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
He is not right and not wise.
Yeye amehamasisha ulevi kwa watanzania elfu sitini na tano walioingia uwanja wa mkapa.
Pia akahamasisha ulevi kwa watanzania milion 5 wa mkoa anaoungoza.
Kosa la piere ni kunywa alichokihamasisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.