Mimi nilikutana nae akanipa hizo swaga nilimuekeza ukweli kwamba kama yeye in bikra nitasubiri ila kama alishawahi tumika bora anipe tu maana anaweza gegedwa nje mile sijui alafu vilevile Mimi atakuwa hanipendi Kwa nini wenzangu wapewe kabla ya ndoa Mimi nipewe baada ya ndoa
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa...
Habari za wakati huu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kusema ukweli sijaona nia ya dhati ya wanasiasa wetu katika kulikomboa taifa letu (chama tawala vs upinzani) zaidi ya ushabiki wa simba na yanga.
Kitu ambacho nimejifunza katika vyama vyetu hivi ni kwamba kila kitu kinachofanyika...
Habari za muda huu wadau
Katika siku za karibuni kumeibuka wimbi la watu mbalimbali ikiwamo viongozi wa dini kuingia katika mtego wa kuamini kwamba mapenzi ni ngono na ili mumeo au mkeo asikukimbie inabidi uwe umebobea katika nyanja hiyo.
Matokeo yake mafundisho mengi ya wanandoa watarajiwa na...
Habari zenu watafutaji wenzangu
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimeanza kufanya mradi wa kufuga kambale lakini tatizo na changamoto nilizo nazo mpaka sasa bado sijapata soko ambapo wanaweza kuchukua kwa jumla pindi watapokua maana ni bado wadogo na nimejifunza kuzalisha kambale hivyo...
Habari za wakati huu
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni kijana ambaye nipo katika msongo mkubwa wa mawazo baada ya kulamba sumu ya penzi ambapo mwisho wa siku hata nikijaribu kunywa maziwa hali inazidi kuwa mbaya ukilinganisha na awali kwani moyo unataka lakini akili inakataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.