Recent content by Kochoko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali inaficha jambo kuhusu ununuzi wa ndege mpya

    Majanga ya mtakatifu kila kukicha. Hii ndiyo Tanzania ya awamu ya tano
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    Huo ndio ubunifu wa viongozi wetu, hivi mwakyembe anaposema atawatetea waandishi wa habari na vyombo habari, anawatetea zidi ya nani? Poor creativity.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kisiasa kwa Dr. Harrison Mwakyembe kinanukia

    Creativity yake ilishia kwenye vyeti vya kuzaliwa eti bila hicho cheti huwezi kuoa wala kuolewa mwenyewe akaona eti amepatia, hahahaa mtakatifu Si akamnanga mchana kweupee.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

    Nape: servant leader, servant leader. Nenda kasome servant leader. Authority, authority, authority. A bad authority, is wrong leadership. Acha kufikiri kwa kutumia tumbo lako, watanzania tunataka servant leader siyo dictator, tunataka transformational leadership na siyo transactional leadership.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete, njia ya muongo na mnafiki ni fupi. Wameshasahau tayari

    Ni hatari unapokuwa na watu kwenye uwezo mdogo wa kufikiri. Umeandika heading ambayo umetamani kila mtu aipitie lakini umeandika pumba, nakushauri utafute nadharia za uongozi hasa transformational leadership na servants leader, kisha ulinginishe na matendo ya huyu rais wetu wa sasa. Kisha jaribu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea, licha ya majigambo ya ukusanyaji ni 34% tu ya fedha za maendeleo ndo zimepatikana

    Ni shida. Wateuliwa wote wa rais hawana ubunifu kils mmoja akisema jambo nafanya rejea kwa magufuli. Hatutoki
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    CCM lazima wawe tayari kumdhibiti pombe maana mawaziri wote wanamuogopa
  8. K

    JamiiForums Tanzania CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

    We we unaiamini CIA, wanapika sana hawa. Trump mwenyewe hawaamini kabisaaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50, je tumekuwa kama mke wa Lut?

    Well said, Jenerali is great
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Angalieni hali ya Wanafunzi, jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya Tshs Bilioni 50

    Vipi na kwa PM Rwangwa utajengwa wa billion ngapi? Au yeye hakuna wanaojipendekeza kwake?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mike Mushi, mmoja wa wenye hisa Jamii Media ahojiwa na Polisi

    Ni shida utawala huu.Eti wakiwa na taarifa yao mkurgenzi wa mawasiliao ikulu wanaileta jf wakati huohuo wanawaandama wamiliki wake. Shame on you.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Bila shaka hasomi magazeti ya nje wala haangalii vyombo vya habari vya nje. Anataka kutuaminisha kuwa kuandika habari zenye ushahid wa wazi no uchochezi. Tuna akili zetu bwana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni awamu hii tu ya uongozi, ambapo kitengo cha maafa hakina tija kwa wananchi

    Chemistry gani bwana. Mafuta ya korisho angekuwa amegundua kitu kwenye hayo mafuta Si Si angejenga kiwanda chake au angeuza ugunduzi wake kwa private sectors ili waongeze mnyororo wa thamani wa zao la korosho.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wazungu waleta fitina mradi wa gesi asili-LNG

    Watu waache kujadili kitu wasichokijua. Cha kwanza mchopasa kukijua uliki wa hivyo visima vya gesi ukoje, je mchina anayo nafasi ya kupewa na serikali hivyo visima? Ukweli uko hivi, mkataba wa umiliki wa ges iliyogunduliwa na inayoyoendelea kugunduliwa ni mkataba wa kugawana mavuno na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia BOT wanaficha nini? Kwanini hawatoi ripoti za uchumi za mwezi?

    Dr. Likwalile aliyekuwa katibu mkuu alikuwa wa kwanza kumwambia mtakatifu kuwa mkuu kila unachokiagiza ni decree (kinatakiwa kutekelezwa) na utekelezaji maana yake ni matumizi. Kukisema kuhamia dodoma ni matumizi, kusema kujenga uwanja wa ndege chato ni matumizi.Kama mlipaji mkuu wa serikali...
Back
Top Bottom