Ni awamu hii tu ya uongozi, ambapo kitengo cha maafa hakina tija kwa wananchi

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Tokea tupate Uhuru hadi sasa, ni awamu hii tu ya uongozi ambapo mile kinachoitwa kitengo/ mfuko Wa maafa au kukabiliana na majanga hauna Tina kwa wananchi hasa pale wanapokumbwa na majanga kama vile tetemeko na mafuriko.

Ni awamu hii tu ambapo kitengo hicho kimebadilishiwa majukumu na badala yake kimekuwa kitengo cha kushughulikia majanga yanayoikumba miundo mbinu ya serikali tatu

hakika hii ni serikali ya hapa kasi tu.

kidumu chama .............................
 
Pesa zilizotengwa kwa ajili ya kitengo cha maafa zimekwapuliwa kwa matumizi mengine. Kwa vile serikali haina shamba (foolish) tumeambiwa kila mtu abebe msalaba wake.
 
Kitengo cha maafa ama kifutwe au kibadilishwe jina na majukumu yake na kiitwe kitengo cha kufufua miundo mbinu ya serikali!
 
hii ndo tanzania na waliomo ndo watanzania wenye udanganyika na upumbavu na ulofa, pamoja na yote hayo CCM itaendelea kuwa madarakani kwa miaka 20 ijayo, mi mwenyewe siipendi ccm hadi nahisi kizunguzungu ila anaebisha hili aweke jiwe mi naweka pikipiki.
 
Mbaya zaidi hakina bajeti kinategemea kutapeli misaada kwa wahanga
 
Chemistry gani bwana. Mafuta ya korisho angekuwa amegundua kitu kwenye hayo mafuta Si Si angejenga kiwanda chake au angeuza ugunduzi wake kwa private sectors ili waongeze mnyororo wa thamani wa zao la korosho.
 
Back
Top Bottom