Recent content by koba lee

  1. koba lee

    Nimepata Lishangazi la Kireno nimekuja kwao Portugal wamechoka kama bongo tu

    2015 Nilikua Lisbon,dah kule ngozi nyeusi kama zote na wengi wanatokea msumbiji. Siku moja natoka training nashangaa nasimamishwa na mshakaji mmoja black anaanza kuniongelesha kireno,kuna kitu alikua naulizia, nikamwambia i don't understand portugese akala kona
  2. koba lee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unadhan kila mtu ana hela ya kustake ya uhakika. Betting ni bahati,sh 100 inaweza kukupa million kadhaa
  3. koba lee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    vita ya panzi furaha ya kunguru...
  4. koba lee

    Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

    Yanayokukuta ndo yanayonikuta,kiufupi nshaamua siwalipi kama vipi ubaya ubwela. Unajua ni kwann siwalipi? Iko hivi.... nilichukua elfu 70 lakini katika simu ikaingia kama 57k afu wananitaka nilipe 90k baada ya wiki. Tatizo ni kua baada ya siku tatu zikaanza meseji kibao toka kwao,kesho yake...
  5. koba lee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimepita nazo zote,huwezi jua maana hii ni kamali
  6. koba lee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    160567 3EB256 Sportybet. edit ukipenda afu share tena
  7. koba lee

    Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

    "kakichovya kitambaa kwenye maji ya moto kikamshinda kakitupa kichwani kwangu."😁😁😁
  8. koba lee

    Wazee wa old skul bongo fleva,mnaukumbuka huu?

    Noma sana
  9. koba lee

    Bongofleva miaka hiyo

    Mike T-nampenda nani Nature-inaniuma sana AY-nipe nikupe Hard mard-tamara Ziggy D-enomick Afande sele-darubini kali Prof jay-Jina langu, tathmini, zali la mentali Mr Blue-mapozi Dully sykes-salome Fid q-huyu na yule Lady j D-siri yangu Ray C-na wewe milele Sister P-anakuja Zay B-niko gado Jay...
  10. koba lee

    Bapa limepita na mzee wa upako

    Watakuja walio deep kwenye maandiko wataelezea maana mi niko shallow kwenye bible, lkn nina uhakika na hilo andiko lipo
  11. koba lee

    Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

    Mdogo wangu alianza kuniletea hizi pigo, nikamwambia marufuku iwe mwanzo na mwisho. Hajawah kurudia
Back
Top Bottom