Recent content by kmkm

  1. K

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Hawezi kusoma Civil au Electricity hana Physics & Mathematics Post sent using JamiiForums mobile app
  2. K

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Kwa ufaulu wako, sahau UDSM Post sent using JamiiForums mobile app
  3. K

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    Juventus tuu ndio walio muweza
  4. K

    Kurekebisha fomu ya mkopo 2016/2017

    HESLB pia wamefungua ofisi Arusha, kwenye jengo la NSSF
  5. K

    Shule za private Kilimanjaro

    Jaribu Marygoreth
  6. K

    Doctor wa ngozi Arusha

    Muone Doctor Masenga wa KCMC hospital anakuwa kwa Doctar Mohamed Hospital siku za Jumamosi
  7. K

    Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    Yatatoka katikati ya mwezi wa pili
  8. K

    Matokeo kidato cha sita 2014, je hakuna aliyepata alama a kwenye physics tanzania nzima

    Nimefuatilia shule nyingi zilizofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi, lakini sijaona alama A kwenye Physics. Je ni kweli?
  9. K

    NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Nimeangalia Tabora Boys, hakuna A ya Phisics kabisa,ina maana Tanzania nzima hakuna
  10. K

    NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Matokeo ya Somo la Physics Form 6 hakuna A Tanzania nzima,Je ni kweli?
  11. K

    Kuhusu selection za form five 2014

    Post za form 5 zitatangazwa kuazia leo tarehe 29/05/2014
  12. K

    Dakitari wa wanawake mkoa wa Arusha

    Nenda St Thomas Hospital, kuna doctar mzuri anaitwa Dr Makando
  13. K

    Maalimu Seif: Serikali mbili hazivumiliki, Zanzibar tunataka Mamlaka kamili

    CCM won the battle in Dodoma, but now the war has started
Back
Top Bottom