olaice kitunga
Member
- Jan 30, 2013
- 90
- 23
Unatanguliza shukrani wana jamvi wenzangu.
Leo nimekuja mbele yenu nahitaji msaada kwa anayefahamu doctor mzuri wa ngozi, mwanangu katokewa na mapele flani maeneo ya machoni ambayo nadhani ni allergy kwani ni baada ya kumpa makademia Mbichi ambazo hazija kaangwa, nilipompekeka captal cha kwanza doctor aliniuliza nimempa karanga Mbichi?
Hapo ndio nilipogundua ni makademia akasema hivi huwa vinachomwa lakini hivi haiwezekani sababu vipo machoni.
Nikipewa dawa lakini haijasaidia nkamrudisha tena akaniambia niache zitaisha zenyewe sasa naona miezi inakata bila mafanikio.
Sasa na wasi wasi sababu usipoziba ufa utajenga ukuta.
Nawasilisha wakuu kwa heshima nisaidieni Mwenye ideal na hii kitu.