Sikuwahi kutegemea kama Mama ambaye nilikuwa ' nakuheshimu ' wakati unajua kabisa kuwa hao Watu ndiyo wameliingizia Taifa hili ' hasara ' kubwa na pengine hadi kutusababishia leo kuwa wadaiwa ' Sugu ' Kimataifa na nchi kuwa bado nyuma Kimaendeleo hivi leo ( jana ) ungesimama pale uwanjani na...
Nilitegemea kuiona iyo historia ya Makonda lakini si kuiona, nimekutana na utetezi! Utetezi wenyewe haushibishi, katika iyo historia yake aliyokupa a kugusia kuhusu cheti cha kidato cha nne?
Dr Slaa kama umehamua kubaki kwenye ukweli simamia msimamo wako, usikatishwe tamaa na wanaokutukana na kukuzalilisha naamini jina lako litabaki katika kumbukumbu za watanzania kwa kupambana na ufisadi, mimi ni mmoja wa watanzania wanaotaka mabadiliko lakini sipo tayari kwa mabadiliko yatakayompa...
Ndugu yangu ukimtendea haki mtu mmoja anaitwa Zinedin Zidane kwangu mimi huyu ndiye alikua fundi wa mpila kama ujawai kumuona tafuta mechi alizo cheza uangalie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.