Media kususia habari za fulani: Je, Tanzania tuna Independent Media yenye jeuri hiyo?

Nadhani walipokuwa wanatangaza kutoandika habari za mtuhumiwa wa kufoji mlidhani vyombo hivyo havina power ya kufanya hivyo sasa acha kilaza aisome namba lakini mbona media za serikali zipo kwani nazo haziandiki au tatizo haziuzi??
 
Bashite kaula wachuya na dikteta uchwara hawezi kufanya chochote kile ili Bashite atangazwe na vyombo vya habari au kuandika habari zake. Mpaka kieleweke kuhusu huyu mhuni Bashite.
Ila mna JUHUDI, Ingekuwa juhudi hizi mnaziweka kwenye mambo ya msingi mngekuwa mbali sana
 
Wana JF nafikiri huu uzi utatusaidia kujadili kimakini bila mihemukokuhusu ususiaji wa kuandika habari za mtu fulani..

Agizo ama MAKUBALIANO kati ya TEF na UTPC ni ukiukaji mkubwa wa katiba ya nchi yetu. Hasa ikizingatiwa kuwa vyombo vya habari ndo vinatakikana kuwa MSTARI wa MBELE katika kuhamasisha kama kuna UKIUKWAJI wowote wa katiba kwa mtu yeyote pasipo kujalicheo chake.
Iwe ni katika kuikumbusha SERIKALI mahali imejisahau lakini si kushiriki katika KUIKIUKA katiba

Juzi juzi TEF na UTPC walikubaliana kumpa BLACKOUT mtumishi mmoja wa serikali.
Naomba NIELEWEKE uzi huu si wa kumtetea mtu yeyote bali ni kusimamia haki ya kikatiba.

Katika Katiba ya nchi yetu Article on RIGHT TO FREEDOM and CONSCIENCE 18 6{d} na
[1b] ya 2005.

Inasema nami nanukuu Hapohapo.I{b}inasema "Mtu ana HAKI ya KUTAFUTA, KUPOKEA na KUPATIWA HABARI"
]

[6d]"Mtu ana HAKI ya kujulishwa HABARI zinazotokea wakati WOWOTE ziwe ni za MATUKIO MUHIMU ya kimaisha na JAMII...." Mwisho wa kunukuu.

Ombi langu ni kuwa tafadhali TEF na UTPC msikiuke katibaya nchi kwa sababu ya KUTOELEWANA na mtu MMOJA.

Waingereza wanamsemo "TWO wrongs do not make a RIGHT"/MAKOSA mawili HAYAKUHALALILISHI utende kama ULIVYOTENDEWA"

Hivyo ni kusema Wananchi wana HAKI ya kusikia na kujua
habari za WABUNGE, MAWAZIRI AMA kiongozi yeyote wa KISERIKALI AKIWA KAZINI kwa manufaa ya UMMA bila KUJALI YULE ANAYEANDIKA nini ALICHOKOSEWA na mtu huyo.
Nafikiri hizo ni MOJA ya ETHICS za UANDISHI wa HABARI.

Hata kama mtu hataki kuomba msamaha, TAIFA na WATU wake ni la MUHIMUzaidi kuliko mtu mmoja!!!.
TEF na UTPC yatafakarini hayo.

kutoka kwa kiongozi yeyote wa SERIKALI
Hembu mwansheria wetu tutajie vifungu vya sheria vinavyo mruhusu kiongozi kuvamia ofisi ya mtu kwa silaha, pia tutajie vifungu vinavyo ruhusi mtu kusoma kwa vyeti sio vyake. Pia tusaidie vifungu vya katiba vinavyo ruhusi kiongozi kutumia mali za watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Aksante kwa msaada wako wakisheria
 
Wana JF nafikiri huu uzi utatusaidia kujadili kimakini bila mihemukokuhusu ususiaji wa kuandika habari za mtu fulani..

Agizo ama MAKUBALIANO kati ya TEF na UTPC ni ukiukaji mkubwa wa katiba ya nchi yetu. Hasa ikizingatiwa kuwa vyombo vya habari ndo vinatakikana kuwa MSTARI wa MBELE katika kuhamasisha kama kuna UKIUKWAJI wowote wa katiba kwa mtu yeyote pasipo kujalicheo chake.
Iwe ni katika kuikumbusha SERIKALI mahali imejisahau lakini si kushiriki katika KUIKIUKA katiba

Juzi juzi TEF na UTPC walikubaliana kumpa BLACKOUT mtumishi mmoja wa serikali.
Naomba NIELEWEKE uzi huu si wa kumtetea mtu yeyote bali ni kusimamia haki ya kikatiba.

Katika Katiba ya nchi yetu Article on RIGHT TO FREEDOM and CONSCIENCE 18 6{d} na
[1b] ya 2005.

Inasema nami nanukuu Hapohapo.I{b}inasema "Mtu ana HAKI ya KUTAFUTA, KUPOKEA na KUPATIWA HABARI"
]

[6d]"Mtu ana HAKI ya kujulishwa HABARI zinazotokea wakati WOWOTE ziwe ni za MATUKIO MUHIMU ya kimaisha na JAMII...." Mwisho wa kunukuu.

Ombi langu ni kuwa tafadhali TEF na UTPC msikiuke katibaya nchi kwa sababu ya KUTOELEWANA na mtu MMOJA.

Waingereza wanamsemo "TWO wrongs do not make a RIGHT"/MAKOSA mawili HAYAKUHALALILISHI utende kama ULIVYOTENDEWA"

Hivyo ni kusema Wananchi wana HAKI ya kusikia na kujua
habari za WABUNGE, MAWAZIRI AMA kiongozi yeyote wa KISERIKALI AKIWA KAZINI kwa manufaa ya UMMA bila KUJALI YULE ANAYEANDIKA nini ALICHOKOSEWA na mtu huyo.
Nafikiri hizo ni MOJA ya ETHICS za UANDISHI wa HABARI.

Hata kama mtu hataki kuomba msamaha, TAIFA na WATU wake ni la MUHIMUzaidi kuliko mtu mmoja!!!.
TEF na UTPC yatafakarini hayo.

kutoka kwa kiongozi yeyote wa SERIKALI
Inaonekana na wewe unaunga mkono mgomo kwa kuamua kutomtaja mlegwa safi sana
 
Mwambie Bashite akafungue kesi mahakamani kwa kosa la kususiwa.
0ea2d2a0660e7d740028a2984d0fd56e.jpg
 
Kama mtu amekataa kutoa au kuonyesha ushirikiano kwa vyombo binafsi vya habari ulitaka afanyiwe nini?? Pili kama unafahamu kuwa kuzuia kutoa au kupata habari ni kukiuka ama kuvunja katiba ya nchi kwanini hukutoa uzi kama huu pale wananchi waliponyimwa haki yao kikatiba ya kupata habari juu ya Wabunge wao Bungeni? Msiwe wepesi wakusahau mliokuwa mnayashibikia. Mh Nape ndie aliewasilisha muswada Bungeni kuzuia Bunge LIVE. Tizama kilichotokea kwake ndani ya mwaka mmoja. Sitaki kuyarudia ila mwenye ufahamu amejifunza jambo fulani.
 
Bashite kaula wachuya na dikteta uchwara hawezi kufanya chochote kile ili Bashite atangazwe na vyombo vya habari au kuandika habari zake. Mpaka kieleweke kuhusu huyu mhuni Bashite.

Mheshimiwa Dessalegn akisalimiana na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hii ni caption ya Michuzi baada ya tukio la jana ni kama hakumuona kabisa Bashite.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtu yeyote ??

Mbona mim habari zangu hazijawahi kutangazwa unless nimelipia kama tangazo ?? Au mimi sijakuelewa una maana gani ?

On the other hand, hii ishu japo hujamtaja inamhusu Daudi Albert Bashite a. k. a Paul Christian Makonda ni simple sana isipokuwa anai- Complicate na kuji - block mwenyewe na media wala waandishi unawalaumu bure tu achilia mbali hizo quatations za vifungu vya katiba ulivyovitoa hapo.....

Hebu Jaribu kutumia common sense bila hata kugusa katiba wala biblia ama kurani na jiulize maswali haya.....

Kwamba, ni kwanini na kuna ugumu gani kuwaomba radhi/msamaha Clouds Media Group aliowakosea ?

Na kwani kuna ugumu gani ku - clarify ukweli kuhusu elimu yake, kwamba, is he Daudi Albert Bashite au ni Paul Christian Makonda baada ya ubatizo ??

In my opinion, that's simple like that kwa sababu chanzo cha haya yote mara kutembea na kulia makanisani kama mtoto mdogo na kuvamia media houses za watu kulazimisha wanahabari watangaze upuuzi wake, ni tuhuma za kutumia jina na cheti cha mtu mwingine kuudanganya ulimwengu kuwa amekwenda shule ili hali ukweli ukiwa ni mtu mwingine tu aliyemsomea !!

Hii kitu haifunikiki mkubwa, na anafanya kila ujinga na mwisho wa siku shetani huyo huyo aliye mdanganya atamtosa na kuanza kumcheka !!

Afanye lililo sahihi ndiyo jibu la scandal inayomwandama, nothing more..... nothingless na hakuna mtu mwenye baya naye na mwisho wa siku maisha yataendelea tu.....
 
Washa bunge live acha povu
Wana JF nafikiri huu uzi utatusaidia kujadili kimakini bila mihemukokuhusu ususiaji wa kuandika habari za mtu fulani..

Agizo ama MAKUBALIANO kati ya TEF na UTPC ni ukiukaji mkubwa wa katiba ya nchi yetu. Hasa ikizingatiwa kuwa vyombo vya habari ndo vinatakikana kuwa MSTARI wa MBELE katika kuhamasisha kama kuna UKIUKWAJI wowote wa katiba kwa mtu yeyote pasipo kujalicheo chake.
Iwe ni katika kuikumbusha SERIKALI mahali imejisahau lakini si kushiriki katika KUIKIUKA katiba

Juzi juzi TEF na UTPC walikubaliana kumpa BLACKOUT mtumishi mmoja wa serikali.
Naomba NIELEWEKE uzi huu si wa kumtetea mtu yeyote bali ni kusimamia haki ya kikatiba.

Katika Katiba ya nchi yetu Article on RIGHT TO FREEDOM and CONSCIENCE 18 6{d} na
[1b] ya 2005.

Inasema nami nanukuu Hapohapo.I{b}inasema "Mtu ana HAKI ya KUTAFUTA, KUPOKEA na KUPATIWA HABARI"
]

[6d]"Mtu ana HAKI ya kujulishwa HABARI zinazotokea wakati WOWOTE ziwe ni za MATUKIO MUHIMU ya kimaisha na JAMII...." Mwisho wa kunukuu.

Ombi langu ni kuwa tafadhali TEF na UTPC msikiuke katibaya nchi kwa sababu ya KUTOELEWANA na mtu MMOJA.

Waingereza wanamsemo "TWO wrongs do not make a RIGHT"/MAKOSA mawili HAYAKUHALALILISHI utende kama ULIVYOTENDEWA"

Hivyo ni kusema Wananchi wana HAKI ya kusikia na kujua
habari za WABUNGE, MAWAZIRI AMA kiongozi yeyote wa KISERIKALI AKIWA KAZINI kwa manufaa ya UMMA bila KUJALI YULE ANAYEANDIKA nini ALICHOKOSEWA na mtu huyo.
Nafikiri hizo ni MOJA ya ETHICS za UANDISHI wa HABARI.

Hata kama mtu hataki kuomba msamaha, TAIFA na WATU wake ni la MUHIMUzaidi kuliko mtu mmoja!!!.
TEF na UTPC yatafakarini hayo.

kutoka kwa kiongozi yeyote wa SERIKALI
 
Yanapo fungiwa magazeti pendwa unakuwaga wapi huoni kuwa ni makosa watu kunyimwa habari? Hata dikteta ingetakiwa aonekana na wanaongalia tbc tu. Huoni kosa startime kuiacha tbc kama local chanel pekee itakayoonekana kwa mtu ambae hajanunua kifurushi na kuzifanya local chanel nyingine ni lazima zilipiwe?
 
Mkuu ninakuelewa sana. Tatizo watanzania hawajielewi haki zao. Jambo la Startimes ama chombo chochote kutotoa matangazo kama TBC ni KOSA. Tumlaumu WAZIRI wa habari aliyekuwepo. Maana FTA chaneli ni HAKI ya mtanzania.
 
Back
Top Bottom