Ilikuwa nivute jiko sema ndo ivo tena Dini ikaleta mushkeri, japo mwanzoni sikuona tatizo ila nimenyoosha mikono juu [emoji119],
Alafu cha ajabu sasa wa dini tofauti nna upepo nao sana kuliko wa dini yangu[emoji37]
Haikuwa kazi rahisi kuachana,
Ila sina budi kufungua ukarasa mpya[emoji29]...
Mkwasa mda si mrefu atakaa pembeni,, ni kati ya makocha wanakuja Yanga ikiwa na matatizo,,
Matatizo yakiisha hutokaa umuone tena ktk bechi,
Mda utaongea
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.