Tayari wachambuzi wa Clouds wanadai lile goli la Yanga ni halali

Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.

Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara, posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji.

Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.

Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara, posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 8 mlivyoshinda yote hatukuyasikia haya, ila leo mmedroo mnalia lia gongowazi mna nini lkn!!
 
Nilishanga itv waliweka kwenye mada huru kuhusu yanga kuifunga Simba wakati zaidi ya miaka minne Simba wanamfunga yanga hawajawahi kufanya hivyo labda wanaongeza pointi za ubingwa wa kulalamika
 
Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.
Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara,posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Refa ndiye aliyefunga goli la Namungo mdau wa soka?
 
Mechi ya leo namna ilivyo chezeshwa hovyo inanifanya nielewe kwanini Namungo niwagumu kuwafunga kwao. Namna mpira ulivyochezeshwa hasa kipindi cha pili sinashaka marefa waliingia na maelekezo maalum.
Marefa watambue vilabu vinatumia gharamam kubwa kulipa mishahara,posho usafiri n.k Mambo wanayo yafanya yanauwa mpira na kushusha heshma zao na kuwakimbiza wawekezaji. Kwa aina hii ya Marefa itachukua miaka mingi marefa wetu kuchezesha AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marefa wa mchezo wenu wa juzi na kmc nao vipi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa ana assist,Simba ndio timu inayo ongoza kwa assist za marefa, Goli la namungo refa hajafunga yeye ila Refa msaidizi/Mshika kibendera katoka assist kwa mfungaji. Nikama Jonesia Rukyaa alipotoa assist kwa kagere afunge kwa njia ya penati dhidi ya Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Simba hapa imekujaje boss?
Au unateseka na ubingwa wake 😝
 
Sasa Simba hapa imekujaje boss?
Au unateseka na ubingwa wake
Mimi nawapongeza chama cha marefa, Tff kwa kupambana kuhakikisha Simba inakua bingwa maana mwekezaji pekeyake asingeweza mbaka kutaka kususia timu bila kupigwa mkwara na RC saaizi tungekua tunazungumzia mengine. Nawashauri TFF na Marefa nguvu waliyotumia kuipa Simba ubingwa basi waitumie kwenye mashindano ya vilabu Afrika ili zile goli tanotano kwa mechi zisijirudie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawapongeza chama cha marefa, Tff kwa kupambana kuhakikisha Simba inakua bingwa maana mwekezaji pekeyake asingeweza mbaka kutaka kususia timu bila kupigwa mkwara na RC saaizi tungekua tunazungumzia mengine. Nawashauri Tff na Marefa nguvu waliyotumia kuipa Simba ubingwa basi waitumie kwenye mashindano ya vilabu Afrika ili zile goli tanotano kwa mechi zisijirudie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mlivyokuwa mnapata ubingwa enzi za Malinzi mlifanya maajabu gani kwenye mashindano ya CAF?

Sisi tumefika robo fainali, Taifa stars imeenda AFCON, Taifa stars imeenda CHAN, Twiga stars wamebeba ubingwa wa decaf na kufika fainali mara kadhaa.

Watoto wale wa Ngorongoro nadhani u17 wamekwenda AFCON ya u17
 
Back
Top Bottom