Recent content by klementos

  1. K

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata leseni ya wafanya biashara wadogo mbadala wa vitambulisho vya Magufuli

    Maombi ya kitambulisho yatapokelewa katika Mkoa/Manispaa/Halmashauri husika kupitia mfumo wa kieletroniki wa TAMISEMI(www.tamisemi.go.tz) au kupitia Machinga App inayopatikana kwenye simu yako ya kiganjani kwa kujaza taarifa binafsi na biashara kama ifuatavyo:-Jinsia,hali ya ndoa, Makadiriao ya...
  2. K

    Hatua nne za kijasusi zinazoweza kumfanya mtu anuse hatari haraka

    Asante kwa darasa mdau! Wabongo wengi wapo condition white, yaani mtu anasafiri toka Dar es salaam mpaka Mwanza amelala tu au anatumia simu/muziki muda wote hawezi kujua hatari ya mazingira yaliomzunguka wakati huo ili kuchukua tahadhari. Ni vema unaposafiri kuwa mdadisi pembeni yuko nani na...
  3. K

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Mazoezi yanasaidia sana kwa sababu toka nianze kufanya mazoezi tatizo la constipation halipo tena . Mazoezi yamenisaidia kupata kiu ya kunywa maji, wakati zamani nilikuwa si mpenzi wa kunywa maji kabisa naweza kukaa siku mbili hadi tatu bila kunywa maji.
  4. K

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Tumia maji ya uvuguuvugu yakiwa na mchanganyiko wa sabuni ya Detto ya maji baada ya siku 10-14 kidonda kinakuwa kimepona.Angalizo mimi nilifanyiwa operesheni mara ya kwanza alafu baada ya mwaka tatizo likatokea tena ikabidi nifanyie tena. Ili kuepuka tatizo kujirudua usitumie choo cha kukaa na...
  5. K

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Nishawai pata hilo tatizo nikafanyiwa opersheni.
  6. K

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Suluisho la hilo tatizo ni kufanyiwa operesheni. Ugonjwa huu ni ngumu sana kumwelezea mtu kama unaaibu ila jinsi siku zinavyokwenda aibu inabidi uweke pembeni. Chanzo kikuu cha tatizo ni constipation na pia epuka vyoo vya kukaa.
  7. K

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Nimevutiwa na huu uzi ila naomba kuelekezwa jinsi ya kufanya setting ya notification ili mdau akiweka uzi niweze pata taarifa[emoji1545]
  8. K

    Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

    Mimi ni Msukuma, ila ndio nipo hapa Marangu Mtoni yaani ni Party after Party, yaani leo ni siku ya tatu tunakula bataa lefuuu, bata la huku si la kitoto sijui kesho itakuwaje wenzetu wanainjoy sana, sijui sisi Wasukuma tunakosea wapi? Hali ya hewa nzurii kuna kabaridi fulani hivii na kwa mbaali...
  9. K

    Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

    Nimepitia uzi huu kila nukta na nimepata maelezo ya mtakahela. Kitu ambacho huwa mabinti wengi wanakosea ni ndimi zao/kauli zao kwa wanaume wanaokuwa kwenye Mahusiano nao. Ukitaka mwanaume awe nawe kuwa makini unaongea nini na kwa wakati gani na pia chunga kuropoka neno baya pale pindi...
  10. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dogo unashangaa mwaka 2003 nilikuwa namiliki Sony Ericson zile ndogo achia mbali zile Motorola za TID aliyovaa kwenye video ya wimbo wa Zeze
  11. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ngoja niwape na hii ya ofisni imetokea majuzi tu. Kuna Pisi moja ni mgeni ofisini ila ina misimamo ya hatari nadhani kwakuwa ametoka katika famili ya kilokole.Mimi kawaida yangu huwa sili magoma ya ofisini kwa kuwa naamini naweza kuaribu kazi kwa sababu kuna msela wangu alikuwa na mahusiano na...
  12. K

    Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

    Mi nakumbuka miaka ya nyuma huko kuna Binti mmoja nilikuwa na mtunuku kweli kweli. Kwa sababu alikuwa wa kipekee kuanzia unyayo hadi kichwani,yaani tako tako kweli, hips hips kweli, kiuno kiuno kweli,midomo midomo kweli ukija kwenye sura na tabasamu sasa, ni tabasamu kweli. Asikwambie mtu hata...
  13. K

    Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

    ishu ya shoo mbovu hakuna mwanume ambaye ajapitia ila wengi kwa kuona aibu huwa tunajidai kuwa haijawahi kuwatokea
  14. K

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwaka jana kuna dogo fulani wa kiume alikuja kupiga field ofisini, bahati mbaya au nzuri kwenye Kitengo changu kulikuwa na mradi so Dogo akawa beneti sana na mimi na isitoshe huo mradi kulikuwa na posho za kutosha. Mara nyingi madogo waki pangiwa kwangu huwa siwaruhusu kutumia fedha zao kwa...
Back
Top Bottom