Recent content by Klaas

  1. Klaas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Nimependa hizo ratiba za asubuhi na mchana zimekaa poa sana
  2. Klaas

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Tujue kifo anapanga Muumba. Hata membe angepewa urais bado angefia madarakani. Ile ya watu wazuri ndiyo wanaoishi ipingwe kwa nguvu zote
  3. Klaas

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Fatilia bunge utaona wanavyopigiwa debe wanaojitolea
  4. Klaas

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
  5. Klaas

    JamiiForums Tanzania Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    Kumfurahisha boss, itawa nae ni wa upande huo
  6. Klaas

    JamiiForums Tanzania Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

    Weka wimbo hapa tuusikie
  7. Klaas

    JamiiForums Tanzania Lema: Maskini ndio wanaona Tsh 12mil anazolipwa mbunge ni hela nyingi. Hiyo ni Sawa na US Dollar 5000 tu ambazo hulipwa majobless kule Marekani!

    Kwa aina hii ya kina lema. Ccm itaendelea kutawala miaka 1000
  8. Klaas

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Lema anazidi kuporomoka, Mwanza walimsusa

    Mama aliona mbali sana kuruhusu siasa za majukwaa. Alifahamu fika upinzani wamefirisika kichwani. Waendelee kuongea tuone walivyo kichwani. Hii ni albu kubwa na kujidharirisha. Yeye akiingia ataajiri nchi nzima(vituko)
  9. Klaas

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Unajua ulichokiandika kweli? Sasa hapo unasapoti au unapinga?
  10. Klaas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Huku kitaa walimu wanaheshimika sana kwa kuchungulia fursa na uwekezaji. Karibu kila baada ya nyumba tano utakutana na nyumba ya mwalimu tena ya kisasa na umri bado mdogo. Kuhusu usafiri wanajirahidi sana kuwa na usafari binafsi hasa IST, crown, fielder, noah nk. Baada ya miaka kadhaa ijayo...
  11. Klaas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Huku kitaa walimu wanaheshimika sana kwa kuchungulia fursa na uwekezaji. Karibu kila baada ya nyumba tano utakutana na nyumba ya mwalimu tena ya kisasa na umri bado mdogo. Kuhusu usafiri wanajirahidi sana kuwa na usafari binafsi hasa IST, crown, lumion, noah nk. Baada ya miaka kadhaa ijayo...
  12. Klaas

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Ukikaa miaka minne kitaa bila ajira, utajua Mungu yupo au hayupo, kusali ni muhimu au siyo muhimu.
  13. Klaas

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Gari zuri Toyota fielder
  14. Klaas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Mpole amka la sivyo utapotea

    Kuna namna mbalimbali za kudai haki, yeye kachagua mgomo na yupo Sawa. Sasa bila kulipwa atakula nini na familia yake?
  15. Klaas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    Dunia imeisha, mtoto anatamani anavyofanyiwa mama yake!! Anatamani mkuyenge wa baba yake... Hivi hizi confidence kwa mabinti wa siku hizi wanatoa wapi? Mbona hawaogopi watu wazima, na wanaona kawaida tu. Watu wazima tunaweza kuepuka hili kwa kukaa nao mbali
Back
Top Bottom