Recent content by Kkhaldrogo

  1. Kkhaldrogo

    Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

    Chuki! Kabla hujaropoka kw mama wa mwenzio kumbuka na wewe una mama
  2. Kkhaldrogo

    Kaka ni "Hensamu" lakini ni mchoyo!

    swala la kuwa mchoyo au kutokuwa mchoyo hyo ni roho ya mtu tu! Haihusiani na kuwa hendsam na anaweza akawa yuko sahihi pia maana wanafahamiana na mnyimwa kuliko wewe, kwahiyo ana sababu zake
  3. Kkhaldrogo

    Kuna dada kaniambia "I love you"

    Km ulishamjibu imetosha
  4. Kkhaldrogo

    JF: The only place you can meet real beautiful women

    Khantwe hta sielewi km nimeliandika sahihi ila kw sifa za huu uzi huyu amepita
  5. Kkhaldrogo

    Mwanaume Muoaji ana sifa zifuatazo...

    waoaji hawana sifa ndo maana wenye kazi wasio na kazi, wahuni,vibaka,wezi,majambazi ,Malaya ,mashekhe na wachungaji wote wanaoa tuu. Wasiooa ni mapadri tu kwa sababu hawana sifa za kuoa na hao ndo tunawaita sio waoaji
  6. Kkhaldrogo

    Mwanaume Muoaji ana sifa zifuatazo...

    Waoajai hawana sifa ila waoaji wanaoa tu, ndo maana wahuni,walevi,Malaya,majambazimashekhe na wachungaji wote wanaoa. Wanaume ambao so waoaji no mapadri tu
  7. Kkhaldrogo

    Ni uongo gani Ex wako alishawahi kukudanganya?

    Ilikuwa hatari siku hiyo... km si kugeuka Husen Bolt, Nafikiri yangenikuta makubwa
  8. Kkhaldrogo

    Ni uongo gani Ex wako alishawahi kukudanganya?

    alinidanganya hajaolewa ila hiyo Siku wahuni waliponivamia nilitamani ardhi ipasuke
  9. Kkhaldrogo

    Ngoma ipi ya Hip Hop ya mapenzi unaikubali kati ya hizi? Weka lines

    Ghetto ambassador- mapenzi yako
  10. Kkhaldrogo

    Kunguni wanasababishwa na nini?

    Jamaa wanajifanya hawajui kama wewe ni wa usafini(wcb) na Usafi kwako upon kwenye damu au wanaleta dharau
  11. Kkhaldrogo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu nilete maskhara mengine au bado mmemaindi kuhusu muandiko
  12. Kkhaldrogo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbka ilikuwa 2012 maeneo ya uknga nimepng na mwngu nyumb moja ila kila MTU na gto lake Ilikuw burdan sn maisha Yale maana kila join lzma tukutane kijiweni kW ajili ya str mbili tatu baada ya harakati za maisha Dah! SKU isiyokumbukw jna si ndo wakahamia wapangji wawili MTU na dada yake...
  13. Kkhaldrogo

    Mke wangu akinuna kwa mambo yasiyo na msingi na mimi nanuna

    Haina shida muuza genge atamchekesha
  14. Kkhaldrogo

    Hodiiii

    Pamoja mkuu
  15. Kkhaldrogo

    Hodiiii

    Nimeshakaribia mkuu
Back
Top Bottom