Recent content by kkenzki

  1. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Mods Angalieni Uwezekano wa Kurudisha Application ya Zamani ya JF

    Mi nashauri pia warudi pia kule kwenye app ya tapatalk
  2. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti dumu lita 20 shs 85000 nipo Dodoma

    Eb tuone picha
  3. kkenzki

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Ipo play store, binafsi nimekuwa nikiitumia zaidi ya miaka 10 sasa kua access Jamii Forum kwakuwa napenda mpangilio wake. Ila tangu izi updates naona access haipo tena Cc Maxence Melo tusaidie tafadhali
  4. kkenzki

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Kiongozi Maxence Melo uku Tapatalk mbona hampatikani tena? Wengine ndo platform yetu pendwa ile. Tafadhali rudini mkuu
  5. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa sasa wa JF

    Ombi langu kwa uongozi ni warudishe JF kule tapatalk, hatuwapati tena
  6. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Mimi nimesikitika sipati tena JF kupitia Tapatalk na ndio app pendwa nilikua natumia
  7. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Tungekua na SERIKALI inayojielewa, Makanisa mengi yalowageuza Waumini chanzo cha Mapato yao, Yangefungiwaaa mara Moja, Utakatishaji wa Pesa Umekithiri

    Nimemwona kiboko ya wachawi leo Instagram nikapandwa na kisukari na izo kejeli anazotoa kwa waliokuwa watoa sadaka wake wa pale Buza.
  8. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Wapi ntapata mtaalam wa kurekebisha, naogopa pereka kwa fundi maiko akaaribu kabisa
  9. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Wadau nna hometheatre ya sony imeanza kwikwi.. Inazima na kuwaka. Kuna fundi umu?
  10. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Ata flagship inayoongoza kwa camera sasaivi ni Oppo Find X9 Ultra
  11. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Nashauri timu ya taifa ya Senegal wajitoe mashindano yote yanayosimamiwa na Wala rushwa CAF

    Ukweli ni kwamba kocha wa Senegal alifanya kosa la kipuuzi sana kutoa timu uwanjani na wajanja wakapita nao. Nilitegemea hili
  12. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Sportpesa, Mbet mbona alivaa
  13. kkenzki

    JamiiForums Tanzania Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Binafsi sioni haja ya mwanadamu kuwa silaha za maangamizi kama za nuclear kwakweli. Iwe kwa nchi yeyote ile
  14. kkenzki

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Dawa ya hio midege ni hii.. Marekani kampa Ukraine hi midude na Russia ameyaokota ya kutosha baada ya wana jeshi wa Ukraine kukimbia na kuyaacha front line. Tehran aongee na Moscow vizuri.
Back
Top Bottom