Recent content by KiZunguMukuti

  1. KiZunguMukuti

    Ni wachache wenye kuijua JamiiForums

    Kuna sababu nyingi zinaifanya JamiiForums isijulikane,ila kubwa ni kuitangaza,hii kwa juu juu inaweza kuonekana kama jambo rahisi lakini sivyo!, JamiiForums siyo mtandao wa mtu au kampuni binafsi,yaani wanaoiendesha JamiiForums sio walioiandikia code na kuifanya iwe web na mobile application...
  2. KiZunguMukuti

    What Should You not waste Your Time on In Your Twenties!

    I would say displaying your status. In my early twenties, I was already making over $100k/year. I bought a fancy car, a lot of fancy designer clothing, went out to eat at expensive restaurants, and all kinds of other things that costed a lot of money. It’s not wise. I’m 30 now and I really wish...
  3. KiZunguMukuti

    Jinsi nilivyomtoa thamani

    Hebu nipatie namba yake nimrudishie thamani yake iliyopotea njia....!
  4. KiZunguMukuti

    Nifanye nini niishi kwa furaha na mke wangu?

    Dash aisee kweli ndoa ndoano,kuna movie flani ivi ya kiblack america,mle yuko janeth Jackson,na wengine wengi,Ila kuna couple flani ivi ilikua na mikasa kama yako,na mwamke ndie aliekua anazua ugomvi kila wakati!,lakin cha ajabu ni kuwa yule mwanamke alikua anataka dyudyu kila anapozua ugomvi,na...
  5. KiZunguMukuti

    Rais Magufuli zaidi ya kauli za kibabe ana nini kingine?

    Kila kukicha naliskia jipya kutoka kwa mheshimiwa rais,binafsi navutiwa Sana na utendaji kazi wake ila anaponichanganya ni pale anapofanya maamuzi ya ghafla yeye pamoja na baadhi ya viongozi wake,natambua kasi ya maendeleo anayotamani kuileta na yawezekana ikatokea lakini nina wasi na mbinu...
  6. KiZunguMukuti

    Hivi ni kwanini mtanzania hapendi Maendeleo ya mtanzania mwenzie?

    Habari zenu jama,natumaini mu buheri wa afya!,ni kipindi kirefu hili suala limekua likinitatiza,lakin kumbe Si vijana wa rika langu tu ndio wenye tabia hizi,mpaka wazee,nimepitapita mitandaoni nimekutana na taarifa kuwa dokta Mwaka kakamatwa na kakatazwa kuendelea na biashara yake,dah,yawezekana...
  7. KiZunguMukuti

    Napendwa kweli na wake za watu

    Hahaahah AKINA BABA SWALEHE bana hizo ndo stori zao wakishashiba komoni......em tutokee na utumbo wako,sasa wake za watu wanakupenda,sisi tukusaidie nin,haha,ila jua cha mtu sumu Mzee...wanawake kibao mtaani afu we unawafuata walioolewa shauri ako mbaba!
  8. KiZunguMukuti

    Nimenogewa na mapenzi ya baba 100%

    Kesi za chumbani aisee sidhani kama zinatuhusu sisi hahaha,is to she watoto wa siku hizi walivyo mpaka unaona aibu kumuita binti yako!
  9. KiZunguMukuti

    Wiki ya pili Abdala hasimami baada ya kutembea na mke wa mtu, haja ndogo inatoka rangi mbalimbali

    Mhhh hilo somo mwenyewe limenigusa aisee,kuna mdada kaolewa afu ajileta nikataka nimleta maghetoni ila kwa stori hiyo acha nimkose tu...mh,kumbe hayo mambo siyo stori!
  10. KiZunguMukuti

    Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Acha nyetoooo hahahahaha,wenzio unapindia kulia au kushoto wewe wako unafuata nini huko chini!...hahahaha
  11. KiZunguMukuti

    Wanawake mtatuua

    Hehehehe tayari mtu kashaliwa jamani hahaha!,we utakua wa kuja tu!,karibu Daslam bwana....mjini ni ujanja ujanja tu hayo mambo ya kuviziana tumeshayaachaga wenzio tumia akili bro,na of coz kila senti anayokula lazima aikojoe tu...!,hahahah pole Sana ndugu!
  12. KiZunguMukuti

    Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

    Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga...
  13. KiZunguMukuti

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Hahahahaha emotional offense ni to keep your problems to yourself and move on,wewe ulikua hauli ukashiba ndo maana uume umepoteza nguvu kabisaa,kula vizuri kila cku afu uje ushuhudie,ukiichukulia poa nyeto haina madhara,wenzio tunapiga madem na nyeto kama kawa!.....hahahahhaha
  14. KiZunguMukuti

    Kigezo cha kushinda BET ni kipi hasa?

    Kwani David Guetta na Calvin Harris wanapewaje tuzo mkuu?
Back
Top Bottom