Recent content by kizuiani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

    Mtafutie chupi km nne za bei kulingana na umbile lake kisha hifadhi ktk package nzuri yenye mvuto kisha mkabidhi ofisini kwake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree ya international relations and diplomacy

    Wadau wenye uelewa wa hii course ktk soko la ajira. Natafuta ushauli kabla ya kuisoma this year kuhusu upatikanaji wake wa ajira
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Mbagala

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Best combination
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

    Siyo sawa kabisaaaa. Engineer yupo busy na uchaguzi. Sureboy kaonekana kwenye bot ya kwenda ZnZ kachakaaaa km Nyumba yake ya chamazi ilivyochakaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA MAENEO YA TAMBANI NJE KIDOGO YA DSM

    Mbele ya kiwanja kuna mnara wa simu ambao upo close na barabara inayolink na Main road. Unaweza kuweka hizo kulingana na engineering services zitakazokuwa applied. Mm ni medical personnel sina utalaam wa building service. On seriously matter karibu utizame for clarification. Ni famous area bcoz...
  7. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA MAENEO YA TAMBANI NJE KIDOGO YA DSM

    For the avoidance of doubt it is a flat surface Area from initial to final part on both sides. Kindly invited
  8. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA MAENEO YA TAMBANI NJE KIDOGO YA DSM

    Ni wilaya ya mkuranga mwanzoni. Kuna route za kkoo mpaka tambani through chamaxi, mbande then tambani. Soon after mwendo kasi kuanza Safari za mbagala kkoo basi mabasi ya mbande to posta na kkoo yataanza route ya mbagala to tambani to and fro
  9. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA MAENEO YA TAMBANI NJE KIDOGO YA DSM

    Nauza kiwanja cha 100/50 maeneo tajwa hapo juu. Eneo lina huduma za umeme, maji, ulinzi, kiroho nk. Ni fast growing area on buildings. Lina hati timirifu. Eneo lipo katikati ya makazi ya watu on both sides. Bei 9M. Ukihitaji nusu ya kiwanja yaan 50/50 tutapima for half of entire cost. Karibuni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ajira port lakini kila nikiomba naambiwa failed

    Ajira portal haina tatizo hata chembe. Ukiona neno application failed usiishambulie ajira portal kwa hoja zisizo na miguu bali chunguza attached qualifications zako zinaendana na advertising qualifications? Unakuta mtu ana Degree ya afya ila anaomba kazi inayohitaji ICT services, it will fail...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Kwa mujini Wa katiba ya chadema ukienda mahakamani kukishitaki chama kwa maamuzi kiliyofanya unapoteza wanachama wako directly. Zito alipoteza wanachama directly
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Walishakubaliana kuhusu uteuzi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuzidiwa (homa) Kali nyakati za usiku

    Dalili za ugonjwa Wa kifua kikuu pasipo Na mashaka
  14. K

    JamiiForums Tanzania Panya Magawa mahiri kwa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini amekufa nchini Cambodia

    Amezikwa huko Cambodia Sent from my TECNO PP7E-DLA1 using JamiiForums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA?

    Leaving certificate ni cheti cha kuhitimu elimu uliyoisoma regardless umefaulu au hukufaulu mitihani ya NECTA. Hutolewa na shule uliyosomea na kikipotea unatakiwa kufuata taratibu za loss report na kufika shuleni kwako kwa ajili ya kutengenezewa kingine. Academic certificate hutolewa na Necta...
Back
Top Bottom