Nadhani sisi tunaohitaji huduma hizi kwa huku Sinza idadi yetu ni 'negligible', nimeongea sana na GO na wale ZUKU wanasema hawapo wala hawajui lini watakuwepo, ila wanasema wakiwepo watanifahamisha, mwaka wa nne huu sasa. Hata ukiangalia kasi ya internet ya Vodacom maeneo haya, nadhani tunatumia...
Nimekuwa nikijiuliza sana, mbona Tanzania tuna maprofesa wengi sana nje ya vyuo? Nadhani mfumo wetu ni tofauti, kwingine Dr yeyote akifundisha chuo ni profesa, hapa nadhani kuwa prof ni ngazi moja juu ya daktari.
Japo thread ni ya kitambo:
1- Bi Malika - Staki Staki
2- Bi Malika - Wape Wape(Huu yeye na mwanahela mmoja aliurudia wa mwenzake)
3- Mwanahela(Golden Stars wa Tanga) - Rabbi Sinipe Mapenzi
4- Golden Stars - Piga Parapanda (ule mimi mwenyewe kwenda, mimi kwenda sokoni, kununua kabichi bidhaa...
Kama kuna mwenye huo wa Valentine Day na Jetou atushirikishe pia! Za kitambo ninazo nyingi sana, nimeweka kwenye public folder la Dropbox nitaziongeza kadiri ninavyopata muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.