Tubadilishane nyimbo za Congo (Zaire)

Tubadilishane nyimbo za Congo (Zaire)

Nipo na tunaanza upyaaaaaaaa
dah,mkuu nikajuaga usharudi mavumbini kaka,,maana umeutelekeza uzi wako mwaka na kichele boss,,,na vile cku hz watu tunakufa hovyo mawazo mabaya juu yako yakaniijia,,,dooh mungu akupe umri bro,,,krb tunakusubiria utushushie ma helicopter ya congo zaire man
 
Nataka niwamwagie mavituz kabla COVID-19 haijanifanya yake maana maisha haya bhana daaaaaaaah hayaeleweki
 
Kuna wale wakali wa Soukouss kina Fredy Majunga, Alain Nkounkou, Mbuta Likasu nk hawa miamba baada ya Sokuouss kupoteza Mvuto mbona hawaskiki jamani kulikoni.
 
Kuna wale wakali wa Soukouss kina Fredy Majunga, Alain Nkounkou, Mbuta Likasu nk hawa miamba baada ya Sokuouss kupoteza Mvuto mbona hawaskiki jamani kulikoni.
Alain Kounkou alikuwa mkali Sana wa soukous aiseeeeeeeeeeeee kyaaaaah!!!! Sikiliza songi la my soukous is fantastic
Daaaaaaaah!!!
 
Mwene tafsiri ya wimbo wa DEFAO _FAMILY KUKUTA kwa. Kiingereza/swahili atupie
 
Kichwa cha mada chajieleza
nimefanikiwa kumiliki nyimbo kadhaa za kikongo (Zaire) za wasanii kadhaa ambazo natarajia kupitia uzi huu nitaanza kuzidondosha hapa kadri nitakapopata bando. Wasanii nilionilio nao ni
1. AWILO LONGOMBA
2. AURLUS MABELE NA KUNDI ZIMA LA LOKETO
3. KOFFI OLOMIDE KUANZIA ANDRADA, LOI, EFRAKATA N.K FULL ALBUMS
4. DAMIEN AZIWA
5. YONDO SISTER KUANZIA MBUTA MUTU, WAPIYO, PERDUUU N.K
6. EXTRA MUSICA ALBUM ZOTE KUANZIA LOSAMBO, ETAT MAJOR, TROP C'EST TROP, FREDY NELSON,
7. GHATO
8. MONICA SEIKA
9. MADILU SYSTEM
NYIMBO ZOTE
10. LUCIEN BOKILO kama vile One way
11. SOUKOUS STARS na nyimbo km vile Rhoda nk
12. Mack mackaire
13. Shimita El Diego
14. Pepe Kalle (Empire Bakuba)
15. WENGE MUSICA
16. GENERAL DEFAO na vibao kama Sukachile, Salanoki, phyl, Animation n.k
17. G7 vibao km savale
18. BOZI BOZIANA
22. JB MPIANA vibao kama Ndombolo, faux de La mour
23. SAHLOMON
N.B. WASANII NI WENGI SANA NA NYIMBO NDIO USISEME
ILI KUEPUKA KURUDIARUDIA NYIMBO, NITAKUWA NADONDOSHA NYIMBO ZA MSANII AU KUNDI MOJA NDIO NAFUATA MSANII AU KUNDI JINGINE.
Kuna wimbo mmoja wa loketo maarufu sana na unapendwa sana ila jina siujui, naomba jina lake au uutume humu
 
jamani mie naupenda huu wimbo wa fatmata ila sijui ameimba nani kila nikitafuta aliyoimba sipati jibu.pia ningepata mashairi yake kwa kiingereza ningefurahi sana
Fatimata nadhani ni wimbo wa Nyboma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom