Recent content by Kizoku

  1. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Tutashukuru kwasababu ukweli utajulikana. Tena anzia na kazini kwa Marehemu mmoja wapo ambaye aliajiriwa na kampuni ya GS Group Limited na ametekwa muda mfupi toka atoke kazini
  2. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Wachaga ndio watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania

    Wachina ilikuwa sheria kuzaa mtoto ni mmoja tu. Hivi sasa wanazaa mwisho watoto wawili.
  3. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Vipi upande wa jd.com na alibaba.com za Wachina??
  4. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Si mchezo
  5. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Yeah, ana wivu kupitiliza na anajua kulinda mwenza wake
  6. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Nyegele ni mnyama hatari sana. Tena akiwa mwanaume ndio kabisa. Na ukikumbana naye kuwa makini. Wana meno makali na lazima waondoke na kende zako. Dawa ya kupambana na Nyegele ni kujenga banda la juu. Kuku wako walale juu kwenye chanja. Kibaka hawezi kuchimba shimo kama la sungura na kuiba kuku...
  7. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    xiao shier, Xiao shier. Meiyou shenme da shier. Name xiaosher ni dou buhui chuli!!!!!!!!!!!!!!
  8. Kizoku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    Hapo kwenye Usiku mwema ina maanisha nini?? Kama ni Usiku mwema ya kumaanisha Good night ni vyema kusema Wan an. Na hapo kwenye "Nide Mingzi shi shenme" tunasema "Ni jiao shenme mingzi"
  9. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nataka nibadilishane Xtrail kwa Vits au Starlet

    Nimetokea kuzikubali mno Xtrail.
  10. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    Naomba mchanganuo kwa kuku chotara, Broilers na layers ili kupembua na kujua wenye faida na wenye hasara.
  11. Kizoku

    JamiiForums Tanzania China kuhamishia sehemu ya viwanda vyake Tanzania

    Ni jambo zuri kwetu. Muhimu ni kuwabana hawa watu kufuata sheria bila shuruti. Sheria zetu za ajira, mazingira, uhamiaji na usalama makazini. Wakitii humo na waje tu.
  12. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Raia wa Uholanzi wakamatwa Uwanja wa Ndege KIA na tumbili hai 61

    Hivi kwanini huitwa TWOMBILI na sio THREETATU???
  13. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Anapenda wanavyosoma magazeti. Itakuwa fundisho kwa TV ya taifa wanaposoma vichwa vya habari vya magazeti waache kuruka baadhi ya vichwa vya habari vinavyopewa kipaumbele kwa sababu wanazozijua wao.
  14. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Dstv ni Jipu tunaomba Waziri Nape/TCRA awaitizame kwa jicho pevu!

    Naikumbuka GTV
  15. Kizoku

    JamiiForums Tanzania Waziri ataka wapiga debe waondolewe Dar

    Halafu ipitishwe sheria mtaa ukikutwa na teja mwenyekiti wa serikali ya mtaa na mjumbe wa nyumba kumi wachukuliwe hatua. Tutanyooka tu na hata tukipita kwa mtogole saa nane usiku hatufungi madirisha na tutaperuzi kama kawa
Back
Top Bottom