Ndugu zangu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza ni Kweli
Mimi ni mmoja ya watu ambao walikuwa hawaamini saana ushirikana kama upo katika mapenzi
Ukweli ni kwamba ushirikana upo Tena saana Kuna watu wanajua vitu bwana dah
Kuna rafiki yangu ambaye alikuwa ananishauria niende kwa mganga...
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake
Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar.
Unafikiri ukimpa mimba ndo atatulia! Kumbe ndo umeenda kumuongezia Akili zaidi.
I LOVE my nyeto sikuachi
Cha kukujibu Sina Mimi kama mkongo
Ninacho Lilia ni inch yangu kuona tunasumbuliwa Na sisimizi mmoja tu sisi tembo ila kwa Akili yangu Mimi ningelikuwa raisi Rwanda ni inch ya kupiga kwa matukio sio kwa vita apana ni inch ya kuwagombanisha ninyi kwa ninyi kwa watusi Na wautu maana mkingia...
Congo ili kupigana Na Rwanda tunabidi tutumie Akili nyingi.
Sawa Rwanda ni nchi ndogo kuliko Congo.
Sawa Congo ni nchi yenye nguvu kuliko Rwanda ila tunatakiwa tujuwe walio nyuma ya Rwanda ni Akina Nani au Rwanda wana nguvu kiasi gani tusiseme tu Rwanda ni inch ndogo kumbe maskini ya Mungu...
Mchezo huu unahusu kujenga inch ysko ya mtandaoni, kuufanya kuwa mzuri na wa kuvutia kwa wakazi wake, kuendeleza miundombinu ya kutosha ya viwanda, kuupatia maji na umeme, na kuwafanya marafiki na majirani wako wafurahie zawadi. Megapolis ni mchezo wa ujenzi wa nchi
Na kizuri zaidi kwanye...
Kuna vitu afrika nikivicheki Na Baki Na shangaa utakuta mtu au mfanyakazi ana penda apate mshaara mkubwa uku uchumi wa inch yake bado mdogo saana
Kwanza hilitakiwa mishaara ipunguzwe kwa uwingi ili serekali ipate watu halali wa kufanya nao kazi sio wapenda pesa
Pili hilitakiwa afrika...
Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi
Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake risasi. Kwangu Mimi nasema Sawa amefanya vibaya ila omba Mungu yasikukute. Sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.