Congo na Rwanda

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Congo ili kupigana Na Rwanda tunabidi tutumie Akili nyingi.

Sawa Rwanda ni nchi ndogo kuliko Congo.

Sawa Congo ni nchi yenye nguvu kuliko Rwanda ila tunatakiwa tujuwe walio nyuma ya Rwanda ni Akina Nani au Rwanda wana nguvu kiasi gani tusiseme tu Rwanda ni inch ndogo kumbe maskini ya Mungu wana vifaa vya mangamizi kuliko sisi au walio nyuma ya Rwanda wana nguvu kuliko sisi Sasa ina bidi tujipange vizuri tusije tukapigwa mpaka kusambaratika inch Tena tunawachia wao pale wanaweke kibaraka chao Tena sisi tuna kuwa watumwa wao.

Ninachoweza kusema kwa inch yangu Congo inabidi tutumie Akili nyingi saana ili kuzibidi Rwanda vizuri
Sio kuandamana saana kama wajinga ni upumbavu mkubwa inch kama Congo kuandamana Kisa Rwanda yaani wakongo sisi ni Mungu tu na akishajua kifaransa vizuri ndo basi tumekufa Ivo.

Tunacho paswa kufanya ni hiki Rwanda kule wenyewe wanakuwaga Na migogoro Yao kati ya watusi Na wauti na ambao wamechoka Na udicteta wa Kagame na wengine wengi Sasa sisi wakongo inabidi tutumie Akili yetu vizuri kuwachonganisha wao kwa wao na amini watapigana tu na wakianza kupigana sisi Congo tunafadhili kikundi kile ambacho kitakuwa kinapigana Na kikundi cha raisi kwa kuwapa vifaa vya kisasa Na kuwapa uduma zingine alafu sisi Sasa tunaweza kutumia njia hiyo kumtowa Kagame madarakani Na kupandikiza kibaraka wetu pale.

Kuliko kupigana vita hiyo ni Atari kubwa kwa taifa letu maana Na amini tutashindwa tu.

FB_IMG_1654443693887.jpg
 
Umeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique 🇲🇿 wameondolewa na jeshi la Rwanda 🇷🇼 sio sadc
 
Congo ili kupigana Na Rwanda tunabidi tutumie Akili nyingi
Sawa Rwanda ni inch ndogo kuliko Congo
Sawa Congo ni inch yenye nguvu kuliko Rwanda ila tunatakiwa tujuwe walio nyuma ya Rwanda ni Akina Nani au Rwanda wana nguvu kiasi gani tusiseme tu Rwanda ni inch ndogo kumbe maskini ya Mungu wana vifaa vya mangamizi kuliko sisi au walio nyuma ya Rwanda wana nguvu kuliko sisi Sasa ina bidi tujipange vizuri tusije tukapigwa mpaka kusambaratika inch Tena tunawachia wao pale wanaweke kibaraka chao Tena sisi tuna kuwa watumwa wao

Ninacho weza kusema kwa inch yangu Congo inabidi tutumie Akili nyingi saana ili kuzibidi Rwanda vizuri
Sio kuandamana saana kama wajinga ni upumbavu mkubwa inch kama Congo kuandamana Kisa Rwanda yaani wakongo sisi ni Mungu tu na akishajua kifaransa vizuri ndo basi tumekufa Ivo

Tunacho paswa kufanya ni hiki Rwanda kule wenyewe wanakuwaga Na migogoro Yao kati ya watusi Na wauti na ambao wamechoka Na udicteta wa Kagame Na wengine wengi Sasa sisi wakongo inabidi tutumie Akili yetu vizuri kuwachonganisha wao kwa wao Na amini watapigana tu na wakianza kupigana sisi Congo tunafadhili kikundi kile ambacho kitakuwa kinapigana Na kikundi cha raisi kwa kuwapa vifaa vya kisasa Na kuwapa uduma zingine alafu sisi Sasa tunaweza kutumia njia hiyo kumtowa Kagame madarakani Na kupandikiza kibaraka wetu pale
Kuliko kupigana vita hiyo ni Atari kubwa kwa taifa letu maana Na amini tutashindwa tu


View attachment 2251482
Huyo aliyelala hapo chini mbona kama m jwtz
 
Ila kagame sio wa kumchukulia poa jamaa anatumia technology kwenye Vita siyo maguvu
 
Acha upuuzi Mkuu.
Watu wenye ufahamu wanajibia hoja not to attack a person, prove me wrong kuwa sio Rwanda Army waliokomboa ule mji na eneo lile, matusi hayo unajidhihirisha ukomo wa mawazo yako,not blaming you ni system mbovu iliyotuzalishia vihiyo.
 
Congo wanapiga kelele weeeh,wanaandamana,wanalia Lia Kagame hata hana habari nao,Yuko bize na mambo yake tu
Screenshot_20220607-092234.jpg
 
Congo fanyeni mambo yenu kimyakimya halafu ghafla bin vuu mnafanya yenu. Kawapeni kabila awaongoze muda wote huu! Hii haivumiliki.
COMBANTENT fanyeni yenu nawakubali sana
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom