Recent content by kizo83

  1. kizo83

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Binafsi naona ni bora ufanyiwe interview na mzungu,ni wawazi na hawana longo longo.Waswahili atakuja na maswali ya kukokomoa ili uonekane huwezi ili wampe nafasi wanaemtaka
  2. kizo83

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Mimi binafsi kisa changu ni kina changamoto sana.Nilipomaliza chuo mzee alinishawishi nirudi nyumbani nikae nyumba ya wapangaji.Nikakubali nkarudi nyumbani.Nyumbani visa vikaanza tukagombana na mzee hapo mama wa kambo nadhani alichangia asilimia kubwa kwa ugomvi usio na kichwa na miguu.Yani...
  3. kizo83

    JamiiForums Tanzania Practical za IT Project Management na ICT security Utumishi

    Sio kwamba watakuwa tested na penetration testing practicals??
  4. kizo83

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura uchaguzi mkuu 2020 zinaombwaje?

    Kuna sehemu wameanza training according to sources zangu,Sasa sijui waliapply lini
  5. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Hapana Hawa jamaa hata ukifeli lazima wakutumie matokeo
  6. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Inatakiwa uwe na speed sana
  7. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    [emoji23][emoji23]ulifanya mwaka gani??
  8. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Jaribu kuweka Sawa CV yako imshawishi muajiri
  9. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Nimeangalia hakuna kitu
  10. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Mimi ishapita wiki sijajibiwa
  11. kizo83

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya Alistair group

    Nimefanya aptitude ya Hawa jamaa inaenda Wiki ya 3 sijapata jibu.Kwa waliowahi kufanya naomba kujua wanatoaga majibu ya aptitude ndani ya mda gani?na wanatoaga majibu kwenye email au wanapiga simu??
  12. kizo83

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

    Mechanical
  13. kizo83

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

    Hizi kazi Kuna mtu kanambia wameanza kuitwa
  14. kizo83

    JamiiForums Tanzania Simba SC Njaa kali, Yanga yafanya kufuru kusajili

    Kuimba kupokezana MIC
  15. kizo83

    JamiiForums Tanzania Tuambie interview mbaya uliyowahi kuifanya

    Usijali kaka,tuendelee kupambana tu
Back
Top Bottom