Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura uchaguzi mkuu 2020 zinaombwaje?

Wasimamizi ngazi ya kituo anza kuzengea ofisi za watendaji kata kuanzia oc1.

25&26 semina,
27 kupokea vifaa
28 uchaguzi
29 kurudisha vifaa.

Hizo ni siku 5, huwezi kukisa 100,000 + nauli 10,000 na msosi.

Kituo kikiwa kikubwa na kinaweza kumpitisha mbunge au diwani..... Ulizani nataka kusema nini, hivo hivo ulivowaza.
 
Naomba nitajiwe kwa kizungu hayo maneno hapo chini
1.Mkuu wa kituo cha kupiga kura
2.Mkuu msaidizi wa kituo cha kupiga kura
3.Karani mwongizaji
 
Kuna yoyote ana idea lini nafasi za kusimamia vituo vya uchaguzi zinatoka na je unatuma wapi maombi?

Je,....

1. Wewe ni mwana Nyundo na Jembe Kindakindaki?
2. Umeshaihuisha ( Renew ) Kadi yako ya Mnazi Mmoja mkabala na Mahakama?
3. Una Sifa za kuwa Mnafiki?
4. Unaweza Kuongopa kuliko hata Shetani Lucifa?
5. Una Roho Mbaya iliyotukuka?
6. Kujipendekeza na Kujikomba ni sehemu yako ya Maisha?
7. Una Historia nzuri ya kuwa Mwizi na Kutokamatwa?

Kazi Kwako Mkuu!
 
aisee
 
daaa :D:p
 
Kwahiyo watu wameshaanza kuomba..? Ila mhh hz kazi zina risk hukawi kupigwa mchana kweupe na wahini
PolicCM na mgambo wao WaPo Weng tu ondoa Dhaka we omba tena vijijini kule ndo kuzuri 12 tu mshabandika matokeo mnasubiri tu kalandika lije kuwasomba na masanduku yenu
 
Kweli kabisa, hebu tujaribu bahati
 
Je,....

1. Wewe ni mwana Nyundo na Jembe Kindakindaki?
2. Umeshaihuisha ( Renew ) Kadi yako ya Mnazi Mmoja mkabala na Mahakama?
3. Una Sifa za kuwa Mnafiki?
4. Unaweza Kuongopa kuliko hata Shetani Lucifa?
5. Una Roho Mbaya iliyotukuka?
6. Kujipendekeza na Kujikomba ni sehemu yako ya Maisha?
7. Una Historia nzuri ya kuwa Mwizi na Kutokamatwa?

Kazi Kwako Mkuu!

Naomba ieleweke wazi. Mimi Msukuma wa dar n Shabiki wako hapa jamvini..

Uwezo wako wa kugeuza jambo LA msingi kuwa komed n jambo LA kipekee sana..

Heko kwako..
 
Back
Top Bottom