Practical za IT Project Management na ICT security Utumishi

danford83

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
7
Reaction score
6
Habari Wana JamiiForums,

Kwa yoyote ambae kawahi kufanya Mitihani ya practical baada ya kuvuka written ya IT project Management au ICT security naomba uzoefu wako juu ya practical ilikuwaje na ni maswali gani walitoa?

Natanguliza shukrani.
 
Key Concepts: [Confidentiality, Integrity, Availability, Non-Repudiation], information Security Policy, [Security Analysis &Control]

Changamoto ya Security Management ni kwamba inatakiwa kuwa implemented to all IT Systems, kwahiyo ni vema kupitia IT areas, kama
Networking, System Administration, Programming, and Database Administration, ukiwa unapita hizo areas think on how security can be implemented to avoid vulnerabilities.

Kwahiyo maswali yanakuwa tu general, based on those areas. Utakutana na maswali ya Database, Networking, Database Administration etc...
 
Sio kwamba watakuwa tested na penetration testing practicals??
 
Back
Top Bottom