Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Mpaka leo sijapata responce toka niwatumie mail.
May b n kwel
Hawa jamaa yarp markenz sijui ni dharau au,,, maana nilutuma email na kupeleka vyeti vyote mpaka kesho hakuna responded ya e-mail wala barua,,, Mimi ni operator wa mitambo!

Wanachosha sana hawa!

Nadhani kutoa matangazo ni geresha tu, tayari wana watu wao!
 
Duh kumbe ajira washaanza kuita huko. ?
Kwa sababu sijasema Serikali Mkuu, nimesema Takukuru waangazie ama wakazie pande zile, ama kama sio kuangalie basi wKashinde maeneo yale japo kwa siku chache tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom