wakati najaribu kufanya practise aliyoelekeza Mbalizi nikaanza kumvua chupi kwa meno... ilipofika mapajani nikajikuta nimemng'ata alistuka ile mbaya nikaamua kumalizia tu kwa kuivuta na mkono.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
anazingua huyu. anachotafuta ni kupata mademu wanaotaka watu oversize akawachape. uzuri ni kwamba anajua pa kuwatafuta. watu kama hawa nawaitaga wazee wa strategy.
hiyo ratiba ya show uliyoisema ni deile? na kama umechoka na kazi zetu za kubeba mizigo bandarini siku hiyo ukasema upumzike na yy akaanzisha uzi huku je?
ni vema kabla haujaenda ufanye upembuzi yakinifu wa kutosha ili usije kujuta. mm binafsi sishauri sana japo wabongo wapo wengi na wanaishi vzr. kila mtu ana siri yake katika mafanikio ila kuwa mmachinga kule naona kama ni shida kidogo. unavyohitajika kuwa navyo inategemea na aina ya Visa...
kwenda kutafuta maisha mhh siwezi kukushauri labda kama unapita njia ili uende kwingineko. vibali inategemea na Visa utayaoomba nadhani maelezo mazuri utapewa ubalozini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.