Kwanini naenjoy sana kutongoza wanawake?

Kwanini naenjoy sana kutongoza wanawake?

Jmn this is very serious...

Nimekua naenjoy sana kutongoza wanawake, popote pale nikikutana na mtoto wa kike akanivutia lzm nimchombeze, nichukue no ya simu, at last nimtongoze...

Kibaya zaidi ni kwamba mm huwa natongoza for fun ila karibu wote ninaowapiga sound huwa wananikubali!

Imefikia hatua phonebook yangu imejaa no za mabinti kibao hlf wengi wao wamenikubali ingawa sio wote wanaonikubali huwa natembea nao, kwa kifupi huwa napata tu raha kutongoza!

Imagine juzi wkt nipo tigoshop akaingia dada mmoja mrefu mwenye rangi ya udhurungi, umbo no 8, sura ya duara, kwa kifupi alikua mlimbende balaa, kila mtu hadi wahudumu wa tigoshop wakaanza kumkodolea, kama kawaida yangu nikamsogelea, nikaanza kuuza maneno mwisho wa siku akanipa no, sijamtongoza bado ila nafarijika tu kuwa na no yake lkn nitamtongoza anytime from now (Hata kama yupo humu wala sijali, akinikataa ndo atakua kanipunguzia idadi ya walio kwenye list)

Kuna rfk yangu mmoja kanitisha kwa kuniambia huenda nina tatizo ingawa mm naona kawaida. Mara kadhaa nikiambatana nae huwa namsababishia usumbufu kwa either kumsubirisha au kubadilisha route kbs nikiwa namfuatilia mwanamke!

Hili linaweza kuwa tatizo serious?
pepo hilo liko ndani yako, mimi pia zamani nilikuwa hivyo, hakuna mwanamke nilikuwa natongoza anakataa, wengi walikuwa wanakuja kustuka nimeshawalala wanaishia kujilaumu lakini pale mwanzoni hakuna mwanamke anakataa. kifupi ni kwamba una laana, shetani anakutumia kuwalaani watu, kila unayelala naye unamwambukiza laana, unatumika kama nyenzo ya shetani kuwalaani wanadamu. usipookoka kuna siku shetani mwenyewe atakutafuna ili usipate nafasi ya kumrudia Mungu.
 
hahah. nimeipenda confidence yako. ukijitahidi ukaihamishia kwenye mambo ya maendeleo I. sure utafanya vzr
 
Back
Top Bottom