Recent content by Kizibo

  1. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Naiona clear on target kabla ya 2030

    DOUMBIYAAAAAAAAA!!! In Baraka Mpenza's voice
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Unazijua spika za fidek?? Kodi 4
  3. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

    Huo use!n#g@e wa maandamano hamuoni kama uneahashindikana?? Tafuteni other strategies and tactics . Akina Mseven na Kagame walikaa msituni kutafuta ushindi, nyie mnataka mpate ushindi barabani!!? Washenzi nyie
  4. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Kusah ni mwanaume hasa , yule mwingine nilikosea

    Ukiona mwanamke nakusifia, maanake wewe una ufala.
  5. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Viwanja Sasa ni Kwa bei ya ofa. Milioni Moja tu(1,000,000/=)

    Hakuna utapeli? Nipe procedure kwa Mimi ambae Niko mbali
  6. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Na wewe nakutaka. Dau panga mwenyewe
  7. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Lamomy Nakutaka. Dau panga mwenyewe. Ila dau lisizidi 1m
  8. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

    Usiombe mjahedeen ashuke hiyo kitu
  9. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Kwa ujumla,Ukristo na uislam ni upumbavu
  10. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Je, katika hali ya kawaida, unaweza ukatafuna wembe ukasagikia mdomoni bila kupata maneraha hata kidogo na ukaumeza na usidhurike?? Ikiwa, mtu akakuka mizizi ya miti Fulani, kisha akakupa wembe utafune, ukatafuna vizuri, wembe ukasagika na akakwambia umeze na ukameza bila kudhurika hata...
  11. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Yanga anafungwa leo

    Mpanzu anaudhi sana yule mkuda. Anakimbia na mpira weeeeeee, watu washafungua, badala atoe pas anang'ang'ana na mpira, mwisho wa siku anapokonywa mpira. Fvvçk u Mpanzu
  12. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    Mind game
  13. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Sierra Leone: Serikali yafuta Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Rais wa Zamani, Ernest Bai Koroma

    Hiyo nchi ina balaa zito sana. Ukitaka kuelewa balaa walilopitia zaidi, Kasome kitabu cha Ishmael Bea, aliekuwa mwanajeshi mtoto (child soldier) baadaye akatokamo kwa msaada wa Unicef. Mwamba anasimilia ukatili alioushuhudia kwa macho yake na ukatili alioufanya kwa mikono yake. Humo utakutana...
  14. Kizibo

    JamiiForums Tanzania FT: England 1-2 Argentina | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 15 Julai, 2026 | Nusu Fainali

    Enzo Fernandez, kwake Mac Arista, Mac Arista kwake Messi..Messii..Messiiiiiiiiiiiiii..........Wwya waya wayaaa..Waya wa Umeme Wayaaaaaaa
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
Back
Top Bottom