Recent content by kizi kid

  1. K

    Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol

    Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30 Aprili 1992. Uhusiano wa Tanzania na Korea umegusa maisha ya wananchi moja kwa moja na lazima na no...
  2. K

    Maadhimisho ya miaka 20 Umoja wa Afrika

    Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha amani, usalama na ustawi wa Afrika Ni dhamira ya Tanzania kukuza amani na usalama barani Afrika ili kuweka mazingira stahiki ya kujenga ustawi wa kijamiina kiuchumi kwa watu wetu. Tangukuanzishwa kwake, Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa...
  3. K

    Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati. Dkt. Mataragio aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mandeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na anachukua nafasi ya Bw. Athumani Selemani...
  4. K

    Unveiling of the statue in honour of h.E. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    UNVEILING OF THE STATUE IN HONOUR OF H.E. MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE AT THE JULIUS NYERERE PEACE AND SECURITY BUILDING AT THE AFRICAN UNION HEADQUARTERS IN ADDIS ABABA, ETHIOPIA It is not easy to sum up Mwalimu's vision and motivation. Thankfully, his own words on Tanganyika's...
  5. K

    Picha: Rais Samia kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Norway na Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
  6. K

    PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa Watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Rais Samia amesema hayo leo katika sherehe za mwaka mpya 2024 (Diplomatic Sherry Party) kwa Mabalozi...
  7. K

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Rais Joko Widodoya wa Indonesia, Jakarta, Alhamisi ya Januari 25, 2024

    Sio 2025 tena inabidi tukubali mchango wake kwenye sekta ya uchumi, jamiii na siasa pia. Tuombe tufike 2030
  8. K

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Rais Joko Widodoya wa Indonesia, Jakarta, Alhamisi ya Januari 25, 2024

    Itafika kipindi mtaelewa mchango wake kwenye uchumi, kijamii na kisia pia
  9. K

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Rais Joko Widodoya wa Indonesia, Jakarta, Alhamisi ya Januari 25, 2024

    FAIDA YA ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASASAN INCHINI INDONESIA 1. Kukamilisha mazungumzo ya kuongeza ushiriki wa uwekezaji wa TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay mkoani Mtwara, ili kuongeza hisa na umiliki zaidi wa TPDC kwenye kitalu hicho kutoka 20% za sasa hadi 40%. 2. Kufungua fursa kwa...
  10. K

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    MAMBO YALIYOFANYWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA, KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA YA HANANG ● Serikali Imewaokoa Watanzania 117 na waliopewa huduma bure za matibabu kupitia gharama iliyobebwa na Rais Samia. ● Serikali imegharamia mazishi ya Watanzania 79 waliofariki kwenye maafa ya Hanang. ● Serikali...
  11. K

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Ndugu Freeman Aikael Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha siasa nchini anapokwenda katika shughuli yenye itifaki ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT SAMIA SULUHU HASSAN taarifa zinapaswa kupatikana mapema Je uwepo wa Mbowe Hanang, CHADEMA kilitoa taarifa na Je walikuwa sehemu ya...
Back
Top Bottom