Recent content by kizazi kipya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Bosi wenu mpuuzi kwa nini hakufunga mlango,asingekamatwa. Halafu kafanya asubuhi asubuhi,kuna uwezekano jamaa aliona sms wakiahidiana kufanya hivo kesho yake asubuhi akawavizia. Mwambie bosi wenu next time afunge mlango
  2. K

    JamiiForums Tanzania Faida za kulala uchi

    Popobawa ndo nini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kuna jipu kitengo cha customs AIRPORT(JNIA).Ukiwasili na mizigo yako toka lets say china au dubai na ni ya biashara.Kuna wafanyakazi wa TRA wanakadiria kodi pale.Unakadiriwa lets say laki 5. Halafu risiti unaandikiwa laki mbili na hiyo tatu unaambiwa umwachie dada wa dirishani pale...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Revealed: Kigogo wa Polisi Dar na Benki ya KCB matatani

    Kwa upande wa bank ya kcb mi sioni kama kuna tatizo,kumbuka mteja hazuiwi kuchukua kiasi chochote cha pesa kutoka kny account yake unless kuwe na order ya kufreeze account kutoka taasisis za serikali ambazo ni BOT,FIU,PCCB,CID au TRA. Kama serikali ingewahi kutoa freeze order kny hiyo bank hela...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Mzee usipanic. Unataka mawio lifungiwe kwa lipi?kwa kutoa habari za ukweli?nani anamdhalilisha mwenzake. Makonda kajidhalilisha mwenyewe na sio mawio. Hiyo picha ni ya kweli.Kama mnataka gazeti lifungiwe kwa kusema ukweli sawa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    Nadhani imefika wakati kila mtu ahukumiwe kwa aliyotenda,siamini kama kuna kisasi katika hili.Suala la miradi kuwa chini ya kiwango kinondoni lilikuwepo kabla hata ya hicho kipindi mnachotaja.Tuache serikali ifanye kazi.Muda wa propaganda umepita. Sio sahihi pia kumhusisha lowasa na kila ufisadi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Si huyu muhongo alijiuzuru kwa kashfa ya ESCROW.Ni lini alijisafisha /kusafishwa na kuonekana hayumo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Maarifa umeeleweka,aina yako ya uandishi naifananisha na mzee wa makengeza gazeti la mwananchi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Hii kitu haiendelei mkuu....?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bodaboda, Bajaji, Daladala, Taxi sasa marufuku.

    Acheni upotoshaji....hawamaanishi usafiri wa taxi na daladala but human trafficking
  11. K

    JamiiForums Tanzania KESI dhidi ya MBUNGE wa MTWARA MJINI Hasnein MURJI YAFUTWA

    malizia inayohusu wanasiasa wa chama cha mapinduzi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

    mbona unaleta habari nusunusu...tuangalie chanel gani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa mlipuko wa bomu arusha umefikia wapi?

    Mara tu baada ya mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema arusha zilitoka kauli nyingi kutoka kwa wahusika.Sijui kama zilikuwa kweli au ulikuwa unafiki.Iliundwa tume ya kipolisi ikiongozwa na chagonja ambaye alianza na mikwara mingi sana arusha.Tabu ilianza baada ya mbowe kutangaza kwamba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete unaogopa nini kuunda tume kama serikali yako haihusiki?

    Kuna ukweli umejificha na wanataka kubadili ukweli uwe uongo ndo maana wanataka tume.Mwigulu na nape wameshatoa matamko mengi sana kuhusu kwamba chadema inahusika na ulipuaji wa bomu.CDM wanasema polisi ndo wanahusika.Katika mazingira haya ni bora iundwe tume huru ili ukweli ujulikane.Ili watu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe alitunishia misuli jeshi la Polisi...!!

    Jaribu kutumia akili japo mara moja kwa mwaka mkuu.
Back
Top Bottom