Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Hotuba ya Rais kwa wazee wa dsm imenikumbusha JIPU moja alipo sema watanzania wanauliza na kujadili kuwa katika siku 100 za kuingia madarakani Rais amefanya nini na kwamba wao hawajiulizi wameifanyia nini Tanzania.

Pia, amewataka watanzania kulipa kodi, kudai risiti kila wanapo nunua kitu.

Baada ya kuunganisha kuhimizwa kulipa kodi, kudai risiti, nimewaza kuwa hata unapo pata huduma serikalini na ukatakiwa kutoa fedha yakupasa kudai risiti.

Katika tafakuli hilo, nimejiuliza ni watanzania wangapi wamenunua mashamba au nyumba na hawakutekeleza au hawatekelezi kulipa kihalali 10% kodi ya serikali?

Ni hivi, kuna kautaratibu fulani kwamba unapo nunua shamba, nyumba na ukataka uthibitisho wa serikali ya kijiji, mtaa ama mahakama una ambiwa kutoa asilimia kumi ya thamani ya mauziano/manunuzi na kwamba matumizi ya fedha hiyo eti ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya eneo / chombo husika!

Kwanza
Naomba mwenye ujuzi wa hili anifahamishe kama ni kweli ndiyo matakwa ya sheria na sheria ipo. Ukiambatanisha kifungu husika itasaidia sana.

Pili
Naona kiasi hiki ni kikubwa sana na kinaweka mwanya wa kutoa rushwa badala ya utekelezaji wa takwa lenyewe.

Tatu
Kwa nini kiasi hiki kisipunguzwe ili a) kilipike b) mnunuzi ama muuzaji asishawishike kutoa rushwa kukwepa kutoa kiasi kikubwa cha fedha c) kuepuka kunemeesha viongozi wa ngazi husika d) serikali ipate haki yake kitu ambacho hata mtoaji atanufaika na mchango wake kwa Taifa?

Hili ni ombi maalum, serikali itafakari vizuri ipunguze kiasi hiki I we asilimia 1 tu. Nina amini ikiwa 1% ni kiasi ambacho kinalipika na serikali itanufaika nacho kuliko hali ilivyo sasa. Niombe pia serikali isione kwamba kupunguza kiasi hiki kutoka 10% hadi 1% itapunjika badala yake itanufaika na ni kiasi kitakacho msukuma mtanzania kulipa hususani anapo ona kodi yake inatumika vizuri na inamnufaisha!
Hili nalo jipu.
Sifahamu ni kifungu gani cha sheria lkn km umeuziwa kiwanja kilichopimwa unapaswa kulipa 10% ya bei ya kiwanja hicho na unalipia TRA na unapewa hati inayoitwa tax clearance certificate ndiyo uweze kuendelea na taratibu nyingine. Sifahamu utaratibu wa hao wanaouziana viwanja kienyeji kwa maeneo ambayo hayajapimwa.
 
Nashauri Serikali ipige marufuku matumizi ya majina ya kidini (Kizungu na Kiarabu) kama Florida, Mohamed, au sijui Irene kwenye fomu zote ambazo tunapswa kujaza kuanzia cheti cha kuzaliwa, vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Elimu n.k badala yake yaruhusiwe majina ya KitanZania tu, na hili ni rahisi sana kufanyika kwani karibia kila Mtz mwenye jina la Kizungu au Kiarabu lazima ana jina pia la Kitanzania hivyo hilo la Kitanzania ndiyo liruhusiwe kuwepo kwenye rekodi za Kiserikali, kwa mfano Pombe Magufuli ndiyo liwepo na John na Josef lisiwepo kwenye cheti cha kuzaliwa!

Halafu kama kuna mtu bado anataka kumuita mtoto wake Jonathan, Michele, Joyce au Ahmad, Mustafa, Ibrahimu afanye hivyo popote anapotaka na vyovyote vile lkn Serikali isilitambue kama vile isivyoyatambua sasa hivi majina yetu ya Kitanzania yaani tugeuze tu mfumo na kufanya kinyume chake badala ya mfumo wetu kutambua Majina ya Kiarabu na Kizungu na kutotambua ya Kitanzania basi itambue ya Kitanzania na isitambue ya kigeni!!

Hapo ndipo tutakuwa tumezika sehemu kubwa sana ya Udini, hapa nchini bila ya hivyo itatugharimu kwani huko mbele vurugu za kidini haziepukiki watu wataanza kufanya sensa kwa kuhesabu tu jina na kuja na namba wanazozijua wao kwa manufaa yao binafsi!
 
Nashauri Serikali ipige marufuku matumizi ya majina ya kidini (Kizungu na Kiarabu) kama Florida, Mohamed, au sijui Irene kwenye fomu zote ambazo tunapswa kujaza kuanzia cheti cha kuzaliwa, vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Elimu n.k badala yake yaruhusiwe majina ya KitanZania tu, na hili ni rahisi sana kufanyika kwani karibia kila Mtz mwenye jina la Kizungu au Kiarabu lazima ana jina pia la Kitanzania hivyo hilo la Kitanzania ndiyo liruhusiwe kuwepo kwenye rekodi za Kiserikali, kwa mfano Pombe Magufuli ndiyo liwepo na John na Josef lisiwepo kwenye cheti cha kuzaliwa!

Halafu kama kuna mtu bado anataka kumuita mtoto wake Jonathan, Michele, Joyce au Ahmad, Mustafa, Ibrahimu afanye hivyo popote anapotaka na vyovyote vile lkn Serikali isilitambue kama vile isivyoyatambua sasa hivi majina yetu ya Kitanzania yaani tugeuze tu mfumo na kufanya kinyume chake badala ya mfumo wetu kutambua Majina ya Kiarabu na Kizungu na kutotambua ya Kitanzania basi itambue ya Kitanzania na isitambue ya kigeni!!

Hapo ndipo tutakuwa tumezika sehemu kubwa sana ya Udini, hapa nchini bila ya hivyo itatugharimu kwani huko mbele vurugu za kidini haziepukiki watu wataanza kufanya sensa kwa kuhesabu tu jina na kuja na namba wanazozijua wao kwa manufaa yao binafsi!

Wazo lako zuri ingawa pia tutaingia kwenye ukabila.. mfno kokushabwa kasigara basi unajua huyu ni muhaya, chiza..muha..mwakyusa..mbey..ngosha..sukuma..etc. nadhani suala nikweka katiba inayoweka mfumo wazo wa uteuzi wa watu kwa kufuata taaluma na weledi.

Mfano nafasi zot za MDGs ziwe zinafanyiwa open.. pia na historia yake alikopita ziwekwe wazi. pia kuwe ni kwa mkataba maalumu
 
KANSA:Kiwanda cha karatasi mgololo. Kiliuzwa kihuni! Baadhi ya rasilimali Kama Nyumba 600 na Eneo la hekari 18000 zikawekezwa buree.

Wafanyakazi zaidi ya 800 wakafukuzwa kazi kibabe!

Hawajalipwa mafao mpaka kesho, wanamaisha magumu na Kati yao 70 wamekwisha poteza uhai kutokana na maisha magumu.

TANZANIA SIO DAR ES SALAAM TU
 
Barabara za makumbusho zinazotoa na kuingiza magari ni janga kuu sijui makonda na mbunge mpya awaoni? wanaharibu magari aisee, tunaomba turudishiwe stand yetu mwenge kwani ndio centre iliyoachwa na nyerere
 
Jipu: Shinyanga barabara za lami mjini kujengwa na mkandarasi aliyejenga Bariadi, Shinyanga leo miezi 8 hakuna chochote zaidi ya kuchimbua.

Hili nalo jipu
Hii mkuu Magu akiiona, atapiga simu mara moja kama ni kweli, naamini atakuwa hajui otherwise ingetakiwa hao jamaa wasimamishwe mara moja, kutokana tu na maneno yake kwenye hotuba juu ya hili. Jamaa wamekwapua mkwanja mrefu bariadi wakishirikiana na watumishi wa uma, .................... hili ni jimbo la mbunge gani vile???
 
Wakuu,

Haya mambo ya majipu yanaanza kukera na kupotosha umma.Mtu akikatishiwa mkataba wake anaitwa jipu.

Balozi kaambiwa arudi baada muda wake kuisha anaitwa jipu.

Mtu kasimamishwa kazi kupitisha uchunguzi anaitwa jipu.

Waandisha wa habari toeni taarifa sahihi kwa umma.

Sasa serikali inaendeshwa kwa masifa haieleweki na kila mkubwa anawaza jinsi ya kuonekana kwenye kwenye media.
 
Kwa mtazamo wangu wajumbe wanachanganya mada hapa, nadhani madhumuni ya uzi huu ni kutoa taarifa sahihi ya watu au mtandao wa majipu ambayo yanaisababishia serikali hasara kubwa.Na sio kuleta kero ndogondogo ambazo zinaweza kushughulikiwa katika ngazi za chini.

Kwa mfano ili kuweka urahisi wa ufuatiliaji taarifa inayoletwa hapa isiwe too general. Vizuri ukaelezea tukio lenyewe, wakati gani lilifanyika au linafanyika, linafanyika namna gani, nani anahusika.Pia kama una vielelezo uvi attached hapa.

Hata kama tukio lilifwnyika basi mamlaka husika zitatumia uzi huo kufuatilia na kuziba hiyo mianya ya utafunaji fedha za walipa kodi.

Naomba kuwasilisha
 
Bahati mbaya hao wanaoitwa majipu wako kimya,ni wanyonge sana ila ngoja waende mahakamani ila ingekuwa vizuri wangesema ukweli kwenye public kwa kuita press maana wao hawatembei na waandishi wa habari
 
Bahati mbaya hao wanaoitwa majipu wako kimya,ni wanyonge sana ila ngoja waende mahakamani ila ingekuwa vizuri wangesema ukweli kwenye public kwa kuita press maana wao hawatembei na waandishi wa habari

Hata waliofungwa ile miaka 60 siyo watungua ndege, waliotungua wako uraiani wanapeta, maana sura zao na kutungua ndege haziendani kabisa.

Nafikiria tu kwa sauti.
 
Nionavyo wanaotumbuliwa wote ni makada wa CCM japo kuwa waliyowengi ni Watumishi Makada wa Chama cha Mapinduzi. Hivi ni Kweli Magufuli atatoboa salama mpaka ifikapo hiyo 2020?

Na, Je kuna Mwana Ukawa yeyote aliyeguswa na hii anita kutumbua Maipu?

Naona ni Mchezo tu wa Kuigiza, mpaka atakapokamatwa Chenge ndipo ninaweza kuamini kidogo kama atakuwa amedhamiria na si sifa tu za kuwaonea wengine.
 
Njia ya Msata-Bagamoyo sehemu gani exactly mkuu!? Pia ukiweza hata utuwekee namba za hiyo gari hapa. Ahsante sana.
Baaada ya kuvuka mto ruvu mwendo kidogo wapo njiani. nilipanda fuso tarehec27 february kuelekea arusha. nyingi zinapita saa 4 mpaka saac7. usipotoa watakuchongea wa pale kwenye mizani kadri ya maelezo ya dereva. je hawaruhusiwi kupia njia hiyo.
 
Kuna jipu kitengo cha customs AIRPORT(JNIA).Ukiwasili na mizigo yako toka lets say china au dubai na ni ya biashara.Kuna wafanyakazi wa TRA wanakadiria kodi pale.Unakadiriwa lets say laki 5.

Halafu risiti unaandikiwa laki mbili na hiyo tatu unaambiwa umwachie dada wa dirishani pale bank.Usipofanya hivo unasota pale nearly the whole day na utakadiriwa upya na kuongezewa kodi za ajabu ajabu.

Huu mchezo wanashirikiana wafanyakazi wa tra na bank za pale unapolipia hiyo kodi.
 
Ndugu Watanzania mnaoumia na bei kubwa ya mafuta huku bei ya soko la dunia ikishuka.

Naona The Citizen wanaonyesha kwa nini bei za mafuta hazishuki, serikali inafumbia macho ujambazi uliofanywa na PICL kwa kushirikiana na Waziri wa Nishati wa wakati huo (sasa hivi kapewa wizara nyingine).

Kama JPM anataka kutumbua majipu, atumbue waliotumbua hizi pesa. Ni zaidi ya Bilioni 40 sio 20 tu. 20B ilikuwa ni tenda ya kwanza ya September. Ya October 16B, ya November 15BN.

The Citizen wanazo data, EWURA wanazo data.

Mwenyekiti wa Bodi wa PICL (Naibu Kamishina wa Energy Bw. James Andilile)alifukuzwa soon baada ya kuwandikia barua Waziri kupinga kugawa tenda za mafuta kwa njia ya kujiamulia umpendaye na pia kumwandikia barua Meneja Mkuu ajieleze kwa nini hakuheshimu maagizo ya Bodi kuwa zabuni ifuatwe?

Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya PUMA alimwandikia Waziri huyo kutokukubaliana na uamuzi wa kupindisha sharia

Mjimbe wa Bodi kutoka kampuni ya GAPCO Tanzania alijitoa kwenye bodi kupinga kitendo hiki cha Waziri na Meneja Mkuu wa PICL kujifanyia uamuzi wa kugawa zabuni kinyume na matakwa ya sheria. Huyu ni mhindi kwa rangi na utaifa, anauchungu na wantanzania kuliko sisi watanzania. Sector ya mafuta ni JIPU

Tutashangaa kama Waziri Mkuu ataishia WMA na TPA akamwacha Waziri aliyehusika.

Nusa nusa inaeleza kuwa pesa iligawiwa GENEVA-USWISI. Kama ni uongo, passport zao zichunguzwe, mmoja ambaye alikwenda kupokea pesa atabainika. hatumtaji sasa.

GAZETI LA CITIZEN Monday, February 15, 2016
High fuel prices raises brows

petrol+pic.jpg

MPs want to know why fuel prices have remained “stubbornly high” in the country despite the introduction of a bulk procurement system and the sharp fall in the global market.

In Summary
The Parliamentary Energy and Minerals Committee last week summoned the management of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) to clarify on several issues, including why local retail prices don’t reflect record low in the world market.


Dar es Salaam. MPs are questioning Tanzania’s high fuel prices amid allegations that irregularities in procurement between September and November last year are to blame for the bad situation.

The Parliamentary Energy and Minerals Committee last week summoned the management of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) to clarify on several issues, including why local retail prices don’t reflect record low in the world market.

It emerged in the meeting that MPs wanted to know why fuel prices have remained “stubbornly high” in the country despite the introduction of a bulk procurement system and the sharp fall in the global market.

As the discussion went on, it was stated that the move by the government to skip normal competitive tendering process and going for a handpicked supplier for the months of September, October and November last year is mostly to blame for the current prices.

By avoiding the tendering process and making supply contracts thought negotiation, the government lost over Sh20 billion.

The Shipping and Supply Contract with Augusta Energy SA signed on July 29 last year by the Petroleum Importation Co-ordinator (PIC) under the Bulky Procurement System (BPS), puts the weighted average premium at a record $64.911 per metric tonne of petroleum products.

That was $20.596 more than the weighted average premium of $44.315 per tonne that was agreed by PIC and Augusta in the previous Shipping and Supply Contract July 3 last year.

The fuel tender in the three months that are blamed for constant high fuel prices was the highest in the two-year history of the bulk-procurement system. The last premiums were $44.3, $48.8 and $34.15 per metric tonne.

It was not then made clear why and who steered the move to skip the tendering process for the months ahead of elections but sources say there is no way one can disassociate the current fuel price and the irregularity in procurement.

Sources have confided that the current stock of fuel in the market is part of the consignment imported during the month of October.

“The fall in prices is delayed because the normal procurement process was delayed. There would have been a relief of over Sh100 in price for fuel,” said an MP who attended the meeting and asked not to be named.

“Many MPs questioned the issue of fuel prices but I have evidence that the situation came as the result of violation of tendering procedure,” the MP said.

It is thought that if the importation of fuel through bulk procurement system in the three months were carried out through normal tendering process, the country could have benefited by relief of premiums totalling $19.8 million.

The relief would have automatically translated to a fall of the pump price for diesel, petroleum and kerosene by over Sh100.


Who’s behind the violations

Reached for comments, Ewura communication manager Titus Kaguo said he was aware fuel procurement for September, October and November was done through negotiations and not tendering process as it used to be.

“It is true that bulk procurement for September, October and November didn’t follow tendering process but you should contact PICL because it is the one which is responsible,” said Kaguo over a telephone interview.

Yesterday, PICL General Manager Michael Mjinja denied any irregularities in awarding the tender to the three companies in Sept, Oct and Dec. Mr Mjinja couldn’t go into details but promised to do so today.

“I can’t go into much detail now; come to my office tomorrow (today).” if you want to get the details,” said Mr Mjinja over the telephone interview with The Citizen.

The bulk procurement system used by Ewura has provided significant benefits to the country, including lowering prices and an improvement in tax collection from petroleum products.

The system, which was introduced in the country mid-2012 brought about other benefits including significant reduction of fuel prices, increased compliance and transparency in the fuel sub-sector as well as easing of congestion at the Dar es Salaam Port.

Statistics show that two years after the introduction of the system, Tanzania saved over Sh120 billion shillings which would have been spent on expenses such as demurrage costs due to ships staying too long at the port.
 
TiGO...hela imepungua kiajabu ajabu tiGO-Pesa,ukiwapigia,call center yao haipatikani.
 
Kwa hali hii, watu tunaanza kuipenda nchi yetu serious. Watu wanaanza kuwa wazalenzo wa ukweli
 
Jipu kubwa limeiva wilayani Mbinga kwenye machimbo ya mkaa wa mawe Ngaka.

Watu wamehamishwa kwa usimamizi wa mbunge wa zamani G. Kayombo lakini hawakulipwa fidia halali. Maakaa yanayochimbwa na waAustralia kwa madai ni majaribio lakini wanauza na kusafirisha sana nje.

Pale ziwani Nyasa kumetengenezwa gati inapakia makaa na kuvushwa kupitia Malawi hadi Afrika kusini. Pale hakuna TRA, Customs, Uhamihaji nk. Nchi inapoteza mapato makubwa sana.

Majaliwa nenda huko wewe unarudia Mbinga mjini tu napo hukutumbua lile jipu la ubadhirifu wa Halmashauri ya Mbinga.


Hiii imeniuma sana
 
Tabora mahama ya mwanzo pale karibu na mskiti waahmadia ni shida yaana mtu hawezi kuhudumiwa bila yakutoa pesa.

Kuna yule kalani wakike mwenye mkona kama mbovu hivi yale mama hana utu kabisa kiukweli minaona lao ni moja na huyo hakimu wakike.

Wife wangu alikuwa na inshu ya mirathi wamesumbuliwa sana.

Chonde chonde kama kuna wahusika hum PCCB fanyeni kazi yenu yaani hapo hapafai watu wanaibiwa yule hakimu wakike hutumia katoto kupokea pesa kwani wateja wake huwapakia kwenye gari na huelekea mahala fulan kwaajiri ya kupewa pesa.

Wakiwa bado kwenye hiyo gari wateja hulazimika kutoa hizo pesa na kukapa katoto na katoto huamriwa kashuke kaende nyumbani na hao wateja wa huyu hakimu hushushwa maeneo mengine kabisa na mchezo huisha.
 
Back
Top Bottom